Shukrani zangu kwa wana jf

KIONGOZI WETU,
Pole sana kwa yote, lakini naamini Mungu anafanya kazi yake, NA ATAKUFARIJI kwa vipimo vyake.
Tuko sambamba mkuu wetu!
 
Napenda kutoa shukrani zisizo na kipimo kwa jf members kwa kuwa nami katika kipindi kigumu baada ya kuondokewa na mke wangu mpendwa, shukrani hizi ziwafikie wale wote walioguswa na tukio hilo na wale wote waliotoa mchango wa hali na mali na pia jf members waliosafiri nami mpaka nyumbani Njombe

Veyaa kumbe yuve wa hunyumba? Pole sana mtwa ave.Twivemba te vonda!! he vembo sha vonda pole sana bwana. Ni mapenzi yake yeye aliyetuumba. Mungu azidi kukutia nguvu akupe faraja na uzidi kumtegemea yeye.
 
Pole sana Mkuu Freetown Mungu akupe nguvu katika wakati huu mgumu.
 
Mkuu pole sana.

Mwenyezi Mungu azidi kukupa nguvu na subira katika kipindi hiki kigumu.

Roho ya Marehemu mkeo na iendelee kupmzika mahali pema peponi. AMINA
 
Kaka, pole sana MUNGU atakupatia nguvu na rehema zake hazitokoma kuifunika nyumba yako kwa faraja. Tupo pamoja
 
Pole sana mkuu kwa kuondokewa na mpendwa wako,
Tunakuombea kwa Mwenyezi MUNGU akujalie moyo wa subra katika kipindi hiki kigumu,
Tuko pamoja kaka.
 
Pole sana kwa yaliyokukuta. Mungu akupe nguvu na uvumilivu. Na sisi tunakutanguliza katika sala zetu
 
Pole sana kwa msiba. Jitahidi kujisahaulisha na kujipa faraja kwa kuamini kuwa hiyo ni sehemu ya maisha ya kila binadamu.
 
Back
Top Bottom