Shukrani za dhati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shukrani za dhati

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Chamkoroma, Mar 21, 2011.

 1. C

  Chamkoroma Senior Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu zangu na wapendwa wangu wana JF, ninazoshukurani za dhati kwa wale wote mlipata habari kuwa nilifiwa na baba yangu mzazi na kwa bahati mbaya sikuwepo Tanzania yalipotokea hayo lkn Mungu aliniwezesha nikarudi nyumbani salama nikaenda kuona wapi walipomhifadhi baba yangu na pia Mungu akaniwezesha tena kurudi kazini salama, kweli Mungu awabariki sn kwa upendo wenu na faraja zenu mlizonipa japo sijawahi kuwaona kwa macho lkn kwa roho nawafaham, nawapenda nawaombea, umoja ni nguvu utengano ni udhaifu, kwa umoja wetu ndiyo mafanikio ya nchi yetu, tuendelee kuiombea nchi yetu, inayogalagazwa na MAFISADI na pia vijana wadogo mana wa MAFISADI, wanaodhani kuwakemea wanaotetea watu nikupata kumbe wanakiharibu chama chao mbele ya jamii yetu.
  jamani nasema leo nawashukuru sn, tuendelee kuombeana na kupendana naamini sikumoja tutaandikisha majina nakuanzisha JUMUIA YETU yakutetea wapenda amani nchi kote, naamini tutawaenzi nakuwatunukia zawadi kemkem ili jamii ijuwe kuwa jumuia ya wapenda amani ya JF inafanya vitu vya ajabu kwa watu wapendao amani na maendeleo ya nchi yetu.
  mbarikiwe sana.
  Chamkey.
   
Loading...