Uchaguzi 2020 Shukrani za dhati kwa wote walioshiriki kusambaza taarifa za Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu tangu mwanzo hadi mwisho

Endelea kutega sikio hapahapa JF

"Usiruhusu watu wakuandae kwa cheo chochote wala usijiandae kwa cheo chochote. Ukiwaruhusu watu wakuandae kwa cheo chochote na haswa kama hawana mamlaka ya uteuzi au hawaamui kwa kura zao, utafadhaika na kuishi maisha ya shida. Usijiandae kwa cheo chochote maana ukipata utakua na kiburi na fahari, na ukikosa utamchukia yule aliyepewa na kumfanya adui yako. Kumbe ndio kudra ya mwenyezi Mungu na ndio fungu lake - Baba mzazi rev Aidan Kabudi
 
Maandishi ya uganga sijawahi kuyakubali
 
Moja ya kampeni kabambe sana ya kukata umeme ilifanyika kwenye uchaguzi huu
 
Back
Top Bottom