Shukrani Star Times kuweka redio, tunaomba muongeze ziwe nyingi

Chen Hu

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
4,321
2,000
Uongo mrahisi kabisa
Mkuu hakika sina haja ya kukudanganya kabisa.
Nilinunua kisimbusi cha azam mkoani toka mwezi wa 2 hakijalipiwa maana wenyewe wanapenda kuangalia habari tu na channel za dini.
Katika list ya channel za radio ambayo haishiki ni kings fm na radio nyingine hazizidi 4 zipo kule chini chini.
Channel za bure kwa ujumla wake ni zaidi ya 30
 

Chen Hu

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
4,321
2,000
Huwa nawashangaa sana AzamTv yani hadi radio station tulipie?..Sasa mbona huku mtaani kwenye ma SABUUFA yetu hatulipi? unapata station zaid ya 20 zote bure
Labda huduma zimetofautiana kulingana na eneo.
Niko njombe napata radio karibu zote bila kulipia.
 

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
1,974
2,000
Mkuu Ruyama mbona mi sizing hizo radio zaidi ya hz za sijui 'stingray' ambazo zilikuwepo tangu zamani?!!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom