Shukrani soko la EAC kwa kuongeza manunuzi ya bidhaa zetu

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,748
48,371
Nawapa shukrani maana biashara zetu zimenoga, bidhaa zetu mnazipokea hadi mauzo yameongezeka kwa mabilioni ukilinganisha na mwaka jana. Chondechonde mbaki vivyo hivyo...

Hongera rais wetu kwa diplomasia iliyosheheni ukomavu na kudhihirisha weledi wako kwenye haya mambo.
Leo uzinduzi wa ICD ya Naivasha na treni ya SGR inayounga humo moja kwa moja ndio hitimisho la ngoma yenyewe yaani tu basi.

===============

Kenya’s exports to key East African Community’s markets hit a three-year high in first nine months of the year, provisional data shows, partly helped by Nairobi’s efforts to ease trade tensions with its regional trade partners.

Earnings from goods sold to Uganda, Tanzania and Rwanda rose 8.06 percent to Sh88.34 billion in the January-September 2019 period compared with Sh81.76 billion over the same period last year.

This is the highest since Sh90.46 billion posted in the same period in 2015, according to the latest data collated by the Central Bank of Kenya (CBK).

Exports to Rwanda grew fastest at 25.14 percent to nearly Sh16.89 billion, followed by Tanzania which bought goods valued at Sh24.44 billion, a 10.23 percent jump over a year earlier. Kenyan traders, however, struggled to expand markets for goods in Uganda, the biggest regional trade partner accounting for more than half of exports’ earnings among the top three EAC countries.

Exports to Uganda were nearly flat, rising two percent to Sh47.02 billion.

Kenyan factories have in recent years struggled to grow exports in regional markets largely due to tariff and non-tariff barriers fuelled by mistrust and long-standing trade disputes, particularly with Tanzania and, in some isolated cases, Uganda.

Manufacturers have also blamed multiple fees and levies, relatively high power charges and inefficiencies at factories for piling up the cost of production.

Source: Business Daily
 
Nawapa shukrani maana biashara zetu zimenoga, bidhaa zetu mnazipokea hadi mauzo yameongezeka kwa mabilioni ukilinganisha na mwaka jana. Chondechonde mbaki vivyo hivyo...

Hongera rais wetu kwa diplomasia iliyosheheni ukomavu na kudhihirisha weledi wako kwenye haya mambo.
Leo uzinduzi wa ICD ya Naivasha na treni ya SGR inayounga humo moja kwa moja ndio hitimisho la ngoma yenyewe yaani tu basi.
Namkubali sana Uhuru, he's one of my favourite presidents japo mwanzoni wakati anagombea nilitilia shaka kama angeweza kuwa kiongozi mzuri...
 
Namkubali sana Uhuru, he's one of my favourite presidents japo mwanzoni wakati anagombea nilitilia shaka kama angeweza kuwa kiongozi mzuri...

Pia mimi nilikua na mashaka naye mwanzoni, nilikua namuona kama kiongozi mwenye visasi, hamaki za ghafla, mikwara na mlevi ambaye anaweza akalitumbukiza taifa kwenye machafuko kila anapochokozwa na wapinzani.
Lakini jamaa ameonyesha utofauti mkubwa sana yaani, amevumilia baadhi ya mapigo na uchokozi ambao binafsi nisingeyavumilia bila kutembeza kichapo kwa watu, najijua fika sina uvumilivu wa kihivyo.
Amecheza michezo ya kidiplomasia mwanzo mwisho, mifano ipo mingi tu, kuanzia Somalia, Ethiopia, Sudan Kusini, Uganda, uje hapo Bongo kwa JPM, kisha ugeuze ndani ya nchi akina Raila Odinga kujiapisha urais...yaani kote ni fire ila amepangua taratibu na kusawazisha.
 
Back
Top Bottom