Shukrani sana wataalam na wakuu wa Kenya kwa kuendelea kuwapima Watanzania hata wakija na makaratasi eti vyeti

Teargass

JF-Expert Member
Apr 23, 2018
16,596
2,000
To be honest Kenyan's are too smart when it comes to professionalism, Tanzania ujanja ujanja mwingi hata kwenye mambo ya kitaaluma ni vizuri kuwapima tena hao madereva wanapoingia na kutoka kla upande in order for each to be in the safe side, watz tupunguzen ushabk
Hata madereve wa Kenya pia wanapimwa in all border points na hatupigi kelele. Who's Tanzania to make us shiver?
 
The weekend

JF-Expert Member
May 3, 2020
384
1,000
Hata madereve wa Kenya pia wanapimwa in all border points na hatupigi kelele. Who's Tanzania to make us shiver?
Thats why I have said that the test for covid should be on either sides of the borders apart from having those certificates from their respective countries.
 
for life

JF-Expert Member
Sep 22, 2014
2,667
2,000
Wabongo huwa tunagombana sisi kwa sisi kuhusu siasa sasa umeona tunaingia kwenye uchaguzi mnahisi mtatuvuruga pia mmeona watalii wameanza kuingia kwa watu wa kuja Kama nyie huwa tuaacha ugomvi wetu na siasa na Simba na yanga tuwashughulikie Sana kwanza nyie ni wanafiki Sana uchaguzi wenu ule mlotwangana mkafa kwa maelfu mkawa wakimbizi wa tz leo mmesahau leo ndiyo mje muogpe (covid 2) ya Tz maana Corona yetu haiuwi mtu anapiga Gea toka Dar hajafa amepata cheti ndiyo aje apate Corona kwenu Sasa Kama hamjui Tz ni marekani ya East Africa nyie mtakuwa nchi ya kwanza kuwapiga sanction Nido zenu ziwaozee
 
The weekend

JF-Expert Member
May 3, 2020
384
1,000
H
Wabongo huwa tunagombana sisi kwa sisi kuhusu siasa sasa umeona tunaingia kwenye uchaguzi mnahisi mtatuvuruga pia mmeona watalii wameanza kuingia kwa watu wa kuja Kama nyie huwa tuaacha ugomvi wetu na siasa na Simba na yanga tuwashughulikie Sana kwanza nyie ni wanafiki Sana uchaguzi wenu ule mlotwangana mkafa kwa maelfu mkawa wakimbizi wa tz leo mmesahau leo ndiyo mje muogpe (covid 2) ya Tz maana Corona yetu haiuwi mtu anapiga Gea toka dar hajafa amepata cheti ndiyo aje apate Corona kwenu Sasa Kama hamjui Tz ni marekani ya East Africa nyie mtakuwa nchi ya kwanza kuwapiga sanction Nido zenu ziwaozee
Hakuna Mkenya aliekuja Tanzania kama mkimbizi bt kulikua na internally displaced refugees wala hawakutoka kambi za wakimbiz zilikua ndani kwa ajili tu ya safety na kupata basic necessities, na hata walokufa ni watu wachache tu tatzo tz ni kla kitu mnapoliticise iwe dini,mpira,elimu but the good thing ni kwamba mpo wakarim sana hata dadazenu wapole wakarm but they are not futuristic.
 
pingli-nywee

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
11,447
2,000
Kwanin Tanzania nayo isiwapime Wakenya ili ukweli ujulikane?
Inashangaza kweli kwamba GoT imekomalia kwenye siasa potovu za kusema kwamba sijui kuna njama za kuihujumu na kuichafua Tz. Wakati chanzo cha mgogoro wote ni janga la Corona. Hawajiulizi kwanini hapo awali madereva wa Tz walikuwa wanaingia Kenya bila tatizo lolote lile.

Ingekuwa ni madereva kutoka Kenya ndio wanakataa kupimwa kabla ya kuingia Tz serikali ya Kenya ndio ingewakashifu raia wake na kuwashurutisha waheshimu maamuzi ya nchi ya Tz. Ila ni wazi kwamba hizi show zote ni muendelezo wa 'response' isiyoeleweka kuhusu COVID-19 kutoka kwa serikali na viongozi wa Tz.

Sasa hawana budi ila kuendelea kujitia hamnazo kwa uoga wa kujikanganya na kufutilia mbali msimamo na kauli zao za hapo awali. Nchi ya Kenya ilifikia maamuzi magumu ya kufunga boda ikijua kwamba itakuwa ni hasara kubwa kibiashara. Ukizingatia kwamba Kenya ndio huwa inauza bidhaa za dhamani ya juu zaidi ya inazonunua kutoka Tz.
 
Bantugbro

JF-Expert Member
Feb 22, 2009
4,452

Mbona maneno marefu ndugu, husomeki, border imefungwa full stop ngoja tuone who will be the first to blink...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom