Shukrani: Nimekutana Na Mkono Wa Mungu 'Live!

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,723
Brodas and Sistos,

Hope JF is still nice.

Kwanza kabisa, napenda kuonyesha kigugumizi kinachonipata kuanza kuongea nanyi, hasa kwa jinsi nilivyo na wasiwasi kama nitaweza kukiandika kilichopo moyoni mwangu kwa kutumia keyboard hii!

Wanandugu, NAPENDA KUWASHUKURU SANA nyote kwa support yenu kubwa ya hali na mali pindi nilipopatwa na Msiba wa Babaangu mpendwa, 26/01/2010 hapa Dar, aliyezikwa huko Mbeya!..

Bila kuwaficha, nilipigwa na butwaa kuona jinsi JFcrew ilivyohusika moja kwa moja katika matukio yote ya episode ile ambayo ni chungu MNO kwangu!

-Nilipata sms nyiingi mno za wanaJF, zote za sympathy,

-Nilipata calls nyiingi mno za wanaharakati wa JF katika kipindi chote cha shida hii!

-Calls na sms pia zilitoka hadi Ulaya(Germany) na Swiss, na maeneo mengine ya ughaibuni ambako mi binafsi sina ndugu, zaidi ya marafiki wa JF!

-Nilipata michango ya rambirambi toka kwa members wasiopungua 10, ambao hadi wananipa michango hiyo nilikuwa sijapata kuonana nao, na wengineo hadi muda huu naandika sifahamu wanafananaje kwa sura!

-Nilipata posts nyingi za POLE za ujumbe wa kila aina ya HEKIMA, kama inavoonyeshwa HAPA

-Nilitembelewa 'live' na wanaharakati wa JF wasiopungua 6, siku ya kuaga mwili, kama mlivyosoma ripoti yao hapa-kwenye-kwenye tundiko lao

Kwa ufupi ndugu wanajamvi, nawashukuru sana kwa kugawana kile ambacho niliki'feel kwa muda ule, waswahili wanasema A SORROW SHARED IS A SORROW HALVED!

Mungu awabariki sana, na umoja huu tuuendeleze bila ya kuogopana, huku ugomvi wa kwenye screen ukiwa unaishia kwenye ku'log-off!

Thanx again friends, na nimeweka kwenye kumbukumbu zangu kwamba NIMEKUTANA LIVE NA MKONO WA MUNGU!

PJ:on transit, Dar-Arusha.
 
Ooooooooops at least ur back,kwakweli mkono wa mungu umeonekana hata katika kurudi kwako salama na kuweza kutusalimia,pole kwa yaliyokukuta mungu azidi kukupa nguvu sana,mumgu ni mwema atabaki kuwa baba wa wajane na yatima.
 
karibu tena PJ....we dearly misd u and we thank God kwa matendo yake mema!!!!!!!!!
 
Mkuu POLE sana kwa yote tuko pamoja nakutakia safari njema kwenda AR.
 
That is great of you pj!Together we stand.
Thanks a lot and God bless you!
 
Nimefurahi sana kusoma post yako,Mungu akubariki sana,na ninaamini bado Mungu ataendelea kuwa pamoja nawe katika kipindi hiki,tuko pamoja mkuu na karibu tena katika familia ya JF.
 
Thats what friends are for PJ
Tuko pamoja kaka PJ
 
siku zote Mungu hawaachi wanaomuita ktk roho na kweli, yeye ndio muweza wa yote

....karibu tena jamvini....
 
pole sana P.J, sijawahi kukuona lakini nimeguswa sana na msiba wa mzee wetu, post zako zote zinaonyesha kuwa wewe ni mwema, uko straight na michango yako ni helpful, always God cant leave you alone, God bless you!
 
Back
Top Bottom