Shukrani na ombi kwa HESLB

chuj

Member
Jan 16, 2014
18
45
Kwanza kabisa niwasalimu kwa jina la Jamhuri,

Natoa shukrani kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania - Samia Suluhu Hassan kwa kutambua mzigo wa deni ya wanufaika wa mkopo wa elimu ya juu uliotokana na VRF na kusitisha makato hayo.

Nipongeze bodi ya mikopo na wizara husika kutekeleza maagizo yaliyotolewa na Rais siku ya mei mosi kwa kuondoa VRF kuanzia mei mosi.

Ombi kwa HESLB kufanya verification mapema iwezekanavyo na kutoa liquidation statement ili kuepusha muendelezo wa makato kwa waajiri na malimbikizo ya madeni kwa bodi na serekali.

Na kazi iendelee.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom