Shukrani Mwanajangwani Yusuph Manji, Mafanikio yako yanaonekana.

Yanga nao watakuwa wa matopeni siku si nyingi

Nikutoe tu tongotongo machoni mwako!

Yanga SC bingwa wa kihistoria Mara 27 wa Ligi kuu.

Uwepo wake kama mwenyekiti tu umeongezeapo NDOO 4 za Ligi kuu bila kuwaruhusu MIKIA FC hata ndoo moja.

Kabla ya hapo tulikuwa na makombe 23 kabatini idadi ambaya haikuwahi kufikiwa na Simba tangu Nyerere azaliwe.

Hatujawahi kuwa wa Matopeni tangu kuasisiwa kwa Taifa hili.
 
Sisi wana simba tunamkumbuka kwa uongozi wake thabiti uliosababisha kwenda msimu mzima bila kufungwa NYIE ndala mkumbukeni kama kiongozi wa simba aliyewapa TANO.
Aveva Je? nasikia mnataka kumtimua...Tangu aingie kwa kiti hajawahi kuwabeba kidedea.

soma kuu mafanikio ya manji uyaweke kukichwa!
 
Back
Top Bottom