Mnamo 24/05/2020 nilikuja hapa jf nikiwa na changamoto ya kuchangishwa sh.30,000/- kwa ajili ya umeme katika nyumba niliyokuwa nimepanga!Asanteni sana kwa ushauri wenu.
Nimeamua kutafuta nyumba nzima ili nijitegemee kila kitu!Ajabu kwa siku sizidishi hata unit 1,kweli nilikuwa ninaibiwa kama wengi mlivyosema!Asanteni sana!Kweli jf ni kila kitu!Zaidi ya yote nimefanikiwa hata kununua uwanja wangu!
ASANTENI SANA!