Shukrani kwa rais kikwete kutoka mkoa huu.......ni sahihi?

MSHINO

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
914
500
SHUKRANI KWA RAIS KIKWETE KUTOKA MKOA HUU…...

Tangu Tanganyika kupata uhuru kuna baadhi ya mikoa imesaharika kabisa kama ni mojapwapo wa mikoa ya nchi hii. Baadhi ya mikoa hiyo ni Rukwa na Kigoma. Viongozi wote waliopita hawakuona umuhimu wa kuipatia maendeleo mikoa hii. Baba wa taifa ailijitahidi kwa uwezo wake kwa kupeleka majis safi kila kijiji, katika awamu ya kwanza mkoa wa Kigoma utakumbuka kwa kuwa na shule moja ya sekondari yaani Kigoma Secondary na chuo cha Ualimu Kasulu. Awamu ya pili nay a tatu hakuna walichofanya hata kujenga barabara ya Rami futi moja hawakufanya hivyo. Pamoja na kupokea wakimbizi kutoka nchi za Burundi, Rwanda na DRC Congo, bado serikili za awamu ya pili na tatu hazikujari.

Tunamhsukuru Rais Kikwete kwa kutukumbuka angalau kwa mara ya kwanza wananchi wa mkoa wa Kigoma wamepata kuona barabara ya rami, na wilaya za kasulu na kibondo kuna angalau umeme wa Generator, si haba. Kikwete amejenga daraja katika mto maragarasi, na barabara kutoka Tabora mpaka Kigoma ipo katika hatua nzuri kwa kiwango cha rami. Ni rais wa kwanza kumteua angalu waziri mmoja kutoka mkoa wa Kigoma, mheshimiwa Christopher Chiza. Tangu uhuru kama inavyoonyesha hapo chini mkoa wa Kigoma haujawahi kupata waziri, tofauti na naibu waziri mmoja. Kwa sababu hizo wananchi wa mkoa wa Kigoma wamekuwa viongozi wa mabadiriko ya kisiasa na kiuchumi. Wananchi wake wamepoteza imani kwa cha tawala CCM na kuunga mkono vyama vya CHADEMA NA NCCR MAGEUZI. Ni mkoa pekee unaoamini vijana kuwaletea maendeleo. Ukiacha wabunge 2 tu kutoka CCM wabunge wote waliobaki kutoka Kigoma ni vijana. (ZITO, DAVID KAFULILA, OBAMA, MOSES MACHALI NA MKOSAMALI). CCM bila kufanya maendeleo yanayoeonekana itawachukua muda mrefu kurudisha imani kwa wananchi wa mkoa wa Kigoma.BARAZA LA MAWAZIRI TANZANIA TANGU UHURU NI WAZIRI MMOJA (C.CHIZA) KUTOKA MKOA WA KIGOMA , JE UWEZO NI MDOGO.?


Mawaziri Wakuu

1. Julius Kambarage Nyerere
2. Rashid Mfaume Kawawa.
3. Edward Moringe Sokoine,
4. Cleopa David Msuya
5. Edward Sokoine
6. Dk Salim Ahmed Salim
7. Joseph Sinde Warioba,
8. John Malecela
9. Cleopa David Msuya Msuya
6. Frederick Sumaye
7. Edward Ngoyai Lowassa
8. Mizengo Pinda


Mawaziri-Ofisi ya Rais (Ikulu)

1. Ali Hassan Mwinyi
2. Profesa Kighoma Ali Malima
3. Amran Mayagila
4. Fatma Saidi Ali
5. Wilson Masilingi
6. Sofia Simba
7.Hawa Ghasia

MAWAZIRI-OFISI YA MAKAMU WA RAIS
1. Aboud Jumbe
2. Edward Sokoine
3. Muhammad Seif Khatibu .
4. Muhammad Seif Khatib
5. Dk. Batilda Burian
7. Dk. Husesein Mwinyi
8. Mark Mwandosya (Mazingira)


MAWAZIRI-OFISI YA WAZIRI MKUU
1. Peter Kisumo
2. Robert Ng’itu
3. Edward Lowassa
4. Dk. Batilda Buriani
5. Philip Marmo
6. Aggrey Mwanri
7. Celina Kombani

Mawaziri
(a). Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii
1. Dk. Stirling (Waziri)
2. Derek Bryceson
3. Lawi Nangwanda Sijaona
3. Dk Aaron Chiduo
4. Prof Philemon Sarungi
5. Prof David Mwakusya

Wizara ya Ardhi

(i) Mawaziri wa Ardhi na Nyumba
1. Lawi Nangwanda Sijaona
2. Austin K.E. Shaba
3. Musobi Mageni
4. John Mhaville,
5. Thabita Siwale
6. Gideon Cheyo
7. Mercel Komanya,
8. Edward Lowassa
9. John Pombe Magufuli
10. John Chiligati,


Wizara ya Elimu
1.Solomon Eliufoo,
2. Chediel Mgonja,
3. Abel K. Mwanga
4. Nicholaus Kuhanga,
5. Padri Simon Chiwanga
6. Thabitha Siwale
7. Prof Philemon Sarungi,
8. Margareth Sitta,
5. Profesa Jumanne Maghembe,

SAYANSI, TEKNOLOJIA, NA ELIMU YA JUU:
A. MAWAZIRI
1. Dk William Shija,
2. Professa Peter Msolla,

Wizara ya Mawasiliano na Uchukuzi (sasa wizara ya Miundombinu)
1. Mustafa Nyang’anyi
2. William Kusila
3. Dk Shukuru Kawambwa

Wizara ya Fedha
1.Mark Bomani
kati ya 1962 na 1965
2. Abdulrahman Mohamed Babu,
3. Amir Jamal,
3. Abdulrahman Mohamed Babu,
4. Paul Bomani, kuanzia
5. Amir Habib Jamal
6. Edwin Mtei,
7. Profesa Kighoma Ali Malima
8. Cleopa David Msuya
9. Profesa Simon Mbilinyi
10. Steven Kibona
11. Daniel Yona,
12. Basil Pesambili Mramba,
13. Zakhia Hamdani Meghji
14. Mustafa Mkulo,
15.


Wizara ya Ulinzi
1. Abdallah Twalipo,
2. Philemon Sarungi
3. Profesa Juma Kapuya
4. Dk Hussein Mwinyi

(b) Manaibu waziri
1. Seif Bakari,
2. Abdallah Twalipo,
3. Edgar Maokola Majogo,
4. Emmanuel Nchimbi
5. Dk. Hussein Mwinyi

Wizara ya Mambo ya Ndani

1. Job M., Lusinde,
2. Said Maswanya,
3. Ali hassan Mwinyi,
4. Muhidin Kimario, kuanzia 1985
5. Augustino Lyatonga Mrema,
6. Lawremce Masha
7. Shamsi Vuai Nahodha
8. Dr.Emmanuel Nchimbi


Wizara ya Nishati na Madini
1. Jeremiah S. Kasambala,
2. Wilbert Chagula,
3. Al-Noor Kassum,
4. John Malecela,
5. Jakaya Kikwete,
6. Daniel Yona,
7. Shamsa Selesia Mwangunga
8. William Ngeleja
9. Pro Sospeter Mohiong’o
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom