Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,359
Kwa niaba ya wanaume wote wanaokosa starehe ya tendo la ndoa kutoka kwa wake zao kwa sababu mbali mbali,
Kwa niaba ya wanaume wote wanaokosa nafasi ya kufuatilia wasichana kwa miezi sita kwa sababu za kimaisha,
Kwa niaba ya wanaume wote wanaokosa ngono kutokana na sababu za kiuchumi kwa kuwa siku hizi ni biashara,
Kwa niaba ya wakaka wetu wanaofanya kazi za ndani ambao muda mwingi wanautumia kufanya kazi zetu,
Kwa niaba ya vijana wetu wanaonza mchezo huu na wanaotafuta uzoefu,
Kwa niaba ya wageni wetu wanaofikia kwenye nyumba zetu na kukaa muda mrefu bila kazi,
Kwa niaba ya wanaume wote walevi wanaorudi usiku wa manane na kufunguliwa mlango na nyie,
Kwa niaba ya wanaume wote ambao wake zao wakijifungua wanakwenda kwao kwa miezi mitatu au zaidi,
Kwa niaba ya wanaume wanaoishi na wanawake wanaofanaya kazi, benki, wizara ya mambo ya nje, Ikulu na kwenye balozi,
Kwa niaba ya wanaume wanaoishi na wanawake waliolazimishwa kuwa oa na wazazi wao wanaotafuta sababu za kuachwa,
Napenda kutoa shukrani zetu kwa moyo wenu wa huruma, upendo na uvumilivu licha kuchukiwa na wake zetu, kusemwa na jamii mmeendelea kutusadia huduma zenu muhimu. siku zote mti wenye matunda ndio upigwao mawe, maneno ya wake zetu, dada zetu na mama zetu yasiwavunje moyo. Huduma zenu ni muhimu sana, mnachangia sana kuimarisha ndoa zilizopangiwa kudumu na kuzivunja zile zenye matatizo. Mna mchango mkubwa kwenye maendeleo ya kitaaluma ya watoto wetu mnao wapatia huduma zenu nyumbani hivyo kuokoa muda wa kuzurura mitaani. Mmechangia kwa kiasi kikubwa maendeleo ya kiuchumi kwa kuokoa pesa ambayo ingekwenda kwa machangudoa na kuishia kwenye pombe, bangi na madawa ya kulevya na kuifanya ibaki kwenye familia. mmetuokoa wengi sana manyanyaso ya wake zetu kwa kuwa mmekuwa mfano hai wa kuwa huduma ya tendo la ndoa si exclussive kwa wake zetu. Mmewaepusha wake zetu na fedheha ya kuonenkana hawana udhibiti na ndoa zao kwa kuwa shida zote zinamalizikia ndani na sio kwa mashangingi wa mtaani. Mmetufundisha umuhimu wa kumthamini mwanamke bila kujali hadhi yake kijamii.
Na uhakika hakuna anayeweza kumaliza mema yenu kwa kuyaandika hata angepewa dunia nzima aiandike, ninachoweza kuwaambia kuwa tunawathamini sana japo mara nyingine inabidi kuficha ili tusiwakwaze wake zetu. Asanteni mabeki tatu.