Shukrani kwa kuanzishwa mtandao wa JamiiForums

Iwepo option ya kubadili username kwa member mwenyewe.
kwa sababu tunatumia id fake,ni sawa ikiwezekana liwepo hilo.ila mim nisingependa kwa maana kuna watu tyar mtu utakuta unawafahamu humu na umewazoea kwa id hzo then wakibadili id jina itasumbua au haitokuwa na connection na hutowapata tena,kwa wale ambao washawazoea baadh ya watu.
 
Nimekuelewa sana Mkuu.
 
Back
Top Bottom