Shukrani kutoka kwa nitonye

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,749
Wanashukruni sana wanajf kwa kunitia moyo na kunipa nguvu kwenye kipindi hiki kigumu. Mdogo wetu Vianney tulimpumzisha jana kwenye nyumba yake ya milele tukiwa na imani ya kuwa tutakutana nae
Thanks sana Nyetk Mamndenyi Lady doctor PakaJimmy angel Msofe YNNAH Mzee Eeka Mangi Mr Rocky Kaizer Baba V Ritz King'asti Paloma TIQO Remote Queen Kan Arushaone kiwatengu watu8 FP charminglady The secretary Madame B Defend or die kabanga Prisss King Kong III Ruttashobolwa Izz Erickb52 Excellent BHULULU Bishanga BAGAH Mpita Njia marejesho Mtoto halali na hela Filipo Maundumula Tusker Bariiiidi MMAHE ladyfurahia never giver up Chocs Evelyn Salt
Hata wale wote ambao sikuweza kuwamention
 
Last edited by a moderator:
Shukrani kaka, sote tunapita japo hatujui lini! tuendelee kumuombea ndugu yetu apumzike kwa amani!
 
Pole tena mkuu,tuendelee kumuombea mdogo wetu apumzike kwa amani.
 
Namshkuru Mungu kwa kuweka KUSAHAU bila hivyo cjui ingekuaje wapendwa, tuko pamoja ndugu
 
Pole sana nitonye naamini atakuwa amepumzika kwa amani mdogo wetu. Pole sana mkuu
 
Last edited by a moderator:
Poleni tena exshemeji.
kwa kweli baada ya msiba nyumba inagubikwa na hali flani ya huzuni sana. Mungu awape nguvu na msiache kufarijiana kwa maombi.

Tuko pamoja (@sweetlady akiniruhusu nitakuja na Paw kukupa pole nyingine)
 

Similar Discussions

16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom