Shukrani bodi kwa kuleta mkopo

mult_talented_p

Senior Member
Oct 10, 2016
103
120
Napenda kutoa shukurani zangu kwa bodi ya mikopo, kwa kutuletea mikopo, japo ni kwa baadhi ya wanafunzi wa St. Joseph tulioamishiwa RUCU via Marian University.
Nimeona ni vyema kama nilivoandika barua ya kuomba mkopo kwa Raisi, wiki chache zilizopita, pia nitoe shukrani kwa kutuletea mikopo.
Ahsanteni sana jf, bodi ya mikopo na muheshimiwa Raisi.

Thanks from a University student.
 
rekebisha kiswahili kwanza, kuamishwa siyo kiswahili, we si msomi?
 
Kula tu Mkuu.

Siku ukimaliza Chuo na wewe usiutoe mpaka wakuandikie Barua kama ilivyokulazimu wewe kufanya hivyo.

Sisi wengine hatutoi ng'oo. Wanatutishia kutupeleka mahakamani lakini hakuna kulipa hapa,mpk waandamane kisha tuwarudishie mabomu waliyotupiga kwanza.
 
Mh!umepata mkopo na akili yako yote i
mesahau kilichokukuta before!2020 najua akili yako itakuwa kama mfu kabisaa!!!!
 
Kula tu Mkuu.

Siku ukimaliza Chuo na wewe usiutoe mpaka wakuandikie Barua kama ilivyokulazimu wewe kufanya hivyo.

Sisi wengine hatutoi ng'oo. Wanatutishia kutupeleka mahakamani lakini hakuna kulipa hapa,mpk waandamane kisha tuwarudishie mabomu waliyotupiga kwanza.
. Nimecheka sana eti tuwarudishie mabomu waliyotupiga
 
Back
Top Bottom