Shujaa wangu ni huyu

JVT Foundation

New Member
Feb 9, 2015
2
0
Leo duniani kote tumeona watu mbalimbali wakijitolea kusaidia watu wenye huitaji kupitia rasiliamali na vipaji vyao. Watu hawa hutokea kwenye sekta mbalimbali kama Siasa na Biashara.

Wewe ukiwa mtanzania unazani nani anastahili kuwa Hero?
 
Leo duniani kote tumeona watu mbalimbali wakijitolea kusaidia watu wenye huitaji kupitia rasiliamali na vipaji vyao.Watu hawa hutokea kwenye sekta mbalimbali kama Siasa na Biashara.
Wewe ukiwa mtanzania unazani nani anastahili kuwa Hero?

Kwangu, HERO wangu ni ccm walioendelea kuwatawala watanzania kwa zaidi ya miaka 59 sasa kuelekea huku waki perform very lowly! ni chama pekee kongwe duniani!
 
hero wangu mimi ni jakaya na mkapa waliotulazimishia kutuwekea uongozi ambao sikuuchagua na wanataka wafanye hvyohivyo kule zenji...mahero oyeeeee
 
Wewe mbona hujamtaja shujaa wako?

Mimi shujaa wangu numbari one ni mama yangu mzazi aiseee.......kanipigania kwa mengi sana. When I was low she was there for me......she never left me alone because she cared for me.

Shujaa mwingine ni Viviano Onano......she is a Kenyan lady who works as women and girls rights campaigner. I like her spirit she is confident, beautiful and above all she loves to help other people.
 
Back
Top Bottom