Shujaa wangu mimi 2014, Mama achambua matembele ndani ya daladala

Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
28,074
37,542
Tumepanda wote daladala UBUNGO TO KIBAHA pale SIMU 2000 alafu ghafla kufika BARUTI ukatoa mfuko na kuanza kuchambua matembele, huku abiria tukishuhudia, mama weee hongera sana!

attachment.php
 
Attachments

  • 1416834437539.jpg
    1416834437539.jpg
    36.3 KB · Views: 7,577
Pole wale waliounga mwili mmoja na 'masista du'. Hongera mama. Ila sijajua hizo 'matembele wastes' mabaki ya matembele alikuwa anayaweka wapi ?
 
Tumepanda wote daladala UBUNGO TO KIBAHA pale SIMU 2000 alafu ghafla kufika BARUTI ukatoa mfuko na kuanza kuchambua matembele, huku abiria tukishuhudia, mama weee hongera sana!

attachment.php
Sasa kula tembele ni umasikini? Au tatizo ni eneo / mazingira aliyo chambulia matembele hayo?
 
Hayo yote uliyoyawaza si maana yake.

Huyu Mama tunampongeza kwa kuujali muda wa shughuli zake akiwa mama wa familiya, pili ni hali ya maisha ambayo ina mfanya afikie kuandaa mboga ndani ya usafiri kwani yeye ndiye anayetegemewa home kwake, kama angeikuwa na uezo wa kuwa a mtu wa kumsaiia nyumbani asingelfikia uamuzi huo. Kwani ukiacha mahesabu home jioni unakuta kuna kazi umesaidiwa.

Maisha yetu Watanzania wengi tunaishi katika mazingira hayo ingawa hatukustahili kutokana na Tanzania ilivyo TAJIRI LAKINI WANANCHI WAKE WENGI NI MASIKINI WA KUTUPWA.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
huo si ushujaa ni umaskini na hana hata msaidizi nyumbani kwake kwasababu ya umaskini
 
Nakubaliana na wewe ni umasikini! Ndivyo watz wengi tunavyoishi hivi! Next year utamuona na kilemba cha kijani na njano anashabikia chama kilichomfanya kuchambulia matembele barabarani kipate kura, kiendelee kum maskinisha!
 
Hayo yote uliyoyawaza si maana yake.

Huyu Mama tunampongeza kwa kuujali muda wa shughuli zake akiwa mama wa familiya, pili ni hali ya maisha ambayo ina mfanya afikie kuandaa mboga ndani ya usafiri kwani yeye ndiye anayetegemewa home kwake, kama angeikuwa na uezo wa kuwa a mtu wa kumsaiia nyumbani asingelfikia uamuzi huo. Kwani ukiacha mahesabu home jioni unakuta kuna kazi umesaidiwa.

Maisha yetu Watanzania wengi tunaishi katika mazingira hayo ingawa hatukustahili kutokana na Tanzania ilivyo TAJIRI LAKINI WANANCHI WAKE WENGI NI MASIKINI WA KUTUPWA.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Hata Mimi inaniuma sana! Muangalie hata ngozi yake! Kachooka hata kabla ya umri sababu ya umasikini, lishe duni na dhiki ya maisha!
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom