Sijajua USHUJAA wake ni nini haswa? Naomba kueleweshwa.
Tumepanda wote daladala UBUNGO TO KIBAHA pale SIMU 2000 alafu ghafla kufika BARUTI ukatoa mfuko na kuanza kuchambua matembele, huku abiria tukishuhudia, mama weee hongera sana!
Sijajua USHUJAA wake ni nini haswa? Naomba kueleweshwa.
Sasa kula tembele ni umasikini? Au tatizo ni eneo / mazingira aliyo chambulia matembele hayo?Tumepanda wote daladala UBUNGO TO KIBAHA pale SIMU 2000 alafu ghafla kufika BARUTI ukatoa mfuko na kuanza kuchambua matembele, huku abiria tukishuhudia, mama weee hongera sana!
Sasa kula tembele ni umasikini? Au tatizo ni eneo / mazingira aliyo chambulia matembele hayo?
huo si ushujaa ni umaskini na hana hata msaidizi nyumbani kwake kwasababu ya umaskini
huo si ushujaa ni umaskini na hana hata msaidizi nyumbani kwake kwasababu ya umaskini
Hayo yote uliyoyawaza si maana yake.
Huyu Mama tunampongeza kwa kuujali muda wa shughuli zake akiwa mama wa familiya, pili ni hali ya maisha ambayo ina mfanya afikie kuandaa mboga ndani ya usafiri kwani yeye ndiye anayetegemewa home kwake, kama angeikuwa na uezo wa kuwa a mtu wa kumsaiia nyumbani asingelfikia uamuzi huo. Kwani ukiacha mahesabu home jioni unakuta kuna kazi umesaidiwa.
Maisha yetu Watanzania wengi tunaishi katika mazingira hayo ingawa hatukustahili kutokana na Tanzania ilivyo TAJIRI LAKINI WANANCHI WAKE WENGI NI MASIKINI WA KUTUPWA.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!