Shujaa wa Mtama, new Che Guevara

2kimo

JF-Expert Member
Jan 23, 2014
2,029
2,072
Huyu ni mpambanaji mpya wa karne hii!
Ni hawa watu watatu tu hadi sasa ndio wameweza kusimama na kuonesha kuwa huyu bwana anakotupeleka sipo! a trio ya Lisu, Nape na Zitto ndio majawabu halisi ya muelekeo wa vijana kuhusu Tanzania yetu!
Nape ni jasiri!
Alimsimamia mgombea wao na kumuweka mjengoni, na alipoona hafai hakuwa mnafiki kubaki naye, na amempinga ndani ya mwaka mmoja! angeweza kuwa mnafiki na kubaki kimya ili awe salama muda wote!
New Che Guevara tutamuomba abaki ndani yao na aendeleze mapambano from within!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom