Shujaa wa filamu ya 'Hotel Rwanda', Paul Rusesabagina ashikiliwa kwa mashtaka ya ugaidi

Kagame ana akili marakumi zaidi ya akili za kawaida,kimbia popote pale hata ukifa atajua kaburi lako liko wapi,kama ni kufukua atafukua ilimradi tu mission yake itimie.
"Kagame ana akili marakumi zaidi ya akili ya kawaida" this is too much.....hata yeye akiona hiki ulichoandika atashangaa.
 
Kagame ana akili marakumi zaidi ya akili za kawaida,kimbia popote pale hata ukifa atajua kaburi lako liko wapi,kama ni kufukua atafukua ilimradi tu mission yake itimie.
Nafikiri kwa sasa paul kagame atumie akiri yake kupigania uhuru wake na kaya yake, la atapoteza
 
Kwenye kuwachukua ughaibuni nililenga zaidi Israel kuliko Russia.. Israel walimtafuta bwana Vita mmoja kutoka German wakamhukum kwa makosa ya kushirikiana na Hitler kuua wayahudi
Israel inatafuta wakosefu ambao hata Interpol huwa inawatafuta. Kwa hiyo huwa hawana kinga ya kutokamatwa, na wakikamatwa wanahukumiwa kwa haki.
 
Rejea kesi ya litvinenko Alexander, nadhani m16/15 walikuwa wamelala kidogo.
Huyo hakutekwa alipewa sumu kwenye kahawa wakati alipokutana hotelini na Mrusi mmoja jina lilitajwa. Hata wewe unaweza mpa mtu sumu nchi yoyote duniani, lakini si kumteka. Ama ukamatwe ukiwa nchini bado, ama utafutwe baada kidogo tu ya kutoka. Kwenye ujasusi wanalenga kufuta ushahidi wa wahusika hata baadae ukose kuwapata.
Israel na UK huteki mtu ukatoka nae.
 
Urusi ina makumi ya maadui nchini UK lakini haiwezi jaribu hata kumteka mmoja. MI6 na MI5 sio watoto wale, wanakufata kila kona. Imagine waliompa sumu Sergei Skripal walitambuliwa na group la uchunguzi la kiraia, hapo involvement ya majasusi haikuwepo.
Boss wa umafia wa zamani wa Rwanda mwenywewe keshawahi wekwa rumande London.
 
Mara tu baada ya jaribio la kutaka kumuua kayumba nyamwasa PK Alisema hakuna atakae isaliti Rwanda asilipwe kutokana na usaliti wake..ni swala la muda tu wote watalipia usaliti wao. Sasa sijui kumkosoa yeye ndo usaliti kwa Rwanda au?!..huyu jamaa ni mafia kwelikweli..
 
Kama PK hatamtendea haki Rusesabagina wanaharakati waliombe Bunge la Marekani lionyeshe nguvu zake kwa Kagame
 
Dah!..jamaa yupo kizuizini?
Sio under full kizuizi lkn yuko 'under watch' kiaina aina hivi,kuna blunder alipiga Congo baada ya kua ametoka kwny hio nafasi yake baada ya hapo akawekwa "under watch".
 
Back
Top Bottom