Shujaa Magufuli hajawahi Kuteka mtu wala kupora Fedha za mtu yeyote. Angefanya hayo CCM ingemwajibisha na tukumbushane Rais ni Taasisi

Nawasalimu kwa Jina lile liyapitayo majina yote la BWANA wetu Yesu Kristo

Hakuna ushuhuda wowote umewahi kutolewa kwamba JPM aliteka au kudhulumu na huu ni Uzushi na masingizio tu kama yale ya Lowassa fisadi au Rugemalira alivyozushiwa na Tumbili

Nawatakia Dominica njema!
Hili jina unalotumia unalidhalilisha sana... nakuomba ubadilishe huyo alikuwa mfuasi makini wa Yesu Kristo sasa kwanini unamfanyia dhalili? Unatafuta dhambi zabuuureee bwamdogo!
Wewe ungejiita "mpambe nuksi" ingekufaa
 
Nawasalimu kwa Jina lile liyapitayo majina yote la BWANA wetu Yesu Kristo

Hakuna ushuhuda wowote umewahi kutolewa kwamba JPM aliteka au kudhulumu na huu ni Uzushi na masingizio tu kama yale ya Lowassa fisadi au Rugemalira alivyozushiwa na Tumbili

Nawatakia Dominica njema!

Nawasalimu kwa Jina lile liyapitayo majina yote la BWANA wetu Yesu Kristo

Hakuna ushuhuda wowote umewahi kutolewa kwamba JPM aliteka au kudhulumu na huu ni Uzushi na masingizio tu kama yale ya Lowassa fisadi au Rugemalira alivyozushiwa na Tumbili

Nawatakia Dominica njema!
Another Sunday trash!!
 
Attachments

  • IMG_20221109_221854.jpg
    IMG_20221109_221854.jpg
    15.1 KB · Views: 2
Nawasalimu kwa Jina lile liyapitayo majina yote la BWANA wetu Yesu Kristo

Hakuna ushuhuda wowote umewahi kutolewa kwamba JPM aliteka au kudhulumu na huu ni Uzushi na masingizio tu kama yale ya Lowassa fisadi au Rugemalira alivyozushiwa na Tumbili

Nawatakia Dominica njema!
Ushahidi hakuna?Muulize mbunge wako JMsa...!Naamini atakuhadithia uchungu na mapito yake!😂😂😂😂
 
Nawasalimu kwa Jina lile liyapitayo majina yote la BWANA wetu Yesu Kristo

Hakuna ushuhuda wowote umewahi kutolewa kwamba JPM aliteka au kudhulumu na huu ni Uzushi na masingizio tu kama yale ya Lowassa fisadi au Rugemalira alivyozushiwa na Tumbili

Nawatakia Dominica njema!
Rais ni mtu na wala siyo taasisi! Ndiyo sababu utawala wa Kikwete ni tofauti na utawala wa muuaji, jambazi Magufuli! Pia ni tofauti na utawala wa aliyekuwa Makamu wake Samia ingawa naye kuna dhuluma anaiga kwa mtangulizi wake!
 
Back
Top Bottom