Shuhudia maajabu ya Mungu, embe yakutwa ndani na maandishi "allah" kwa lugha ya kiarabu

SULEIMAN ABEID

JF-Expert Member
Feb 26, 2013
390
385
allah akbar!! Allah akbar!! Mungu mkubwa!! Mungu mkubwa!!!

Embe yakutwa ikiwa imeandikwa jina la "allah! Ndani katikati.

Kwa aliyepitia masomo ya qur - an ni rahisi kwake kusoma maandishi haya.

jisomee!!!
 
Attachments

  • DSC03262.JPG
    DSC03262.JPG
    20 KB · Views: 3,528
  • DSC03263.JPG
    DSC03263.JPG
    19.6 KB · Views: 3,195
  • DSC03264.JPG
    DSC03264.JPG
    18 KB · Views: 2,920
  • DSC03266.JPG
    DSC03266.JPG
    207.2 KB · Views: 2,860
aliyepost naye ni mzigo. kweli hata kama ametoka kijijini bado ni mzigo. Ni aibu kuzungumziq hilo. Haiitaji akili ya darasani. ni akili ya kukaa na wenye akili tuuu
 
aliyepost naye ni mzigo. kweli hata kama ametoka kijijini bado ni mzigo. Ni aibu kuzungumzia hilo. Haiitaji akili ya darasani. ni akili ya kukaa na wenye akili tuuu
 
Ujinga ni mzigo mkubwa mno,
kuna wakati tukiwa watoto tulikuwa tunaambiwa tuangalie mawingu kutaona michoro mbalimbali, kumbe maskini mawingi yanasukumwa zake tu na upepo intentionally linatokea umbo hata la mtu sasa hapo ndo si kudanganywa huko dah!
 
Hongera kwa kupata mlo wa kiporo cha kande na kokwa la embe...
 
allah akbar!! Allah akbar!! Mungu mkubwa!! Mungu mkubwa!!!

Embe yakutwa ikiwa imeandikwa jina la "allah! Ndani katikati.

Kwa aliyepitia masomo ya qur - an ni rahisi kwake kusoma maandishi haya.

jisomee!!!

Inaonekana kabisa umechora kwa mkono!! Uache upumbavu unajidhalilisha mwenyewe na dini yako pia
 
Itakuwa ni kazi ya maandishi ya jini katika embe; ambao ni waanzilishi tatoo.
"ADANGANYIKI MTU BALI MAPEPO AU JINI"
 
JEHOVA Alifanya Kweli alitokea mti ukashika moto bt hauteketei
Jesus akafa na kufufuka,

Yaani kwa Jina tu la Yesu yote yanafanyiki Huuu ndo muujiza mkuuu. Bwana Yesu na Asifiwe
 
JEHOVA Alifanya Kweli alitokea mti ukashika moto bt hauteketei
Jesus akafa na kufufuka,

Yaani kwa Jina tu la Yesu yote yanafanyiki Huuu ndo muujiza mkuuu. Bwana Yesu na Asifiwe

Hayo yote ameyafanya kwa uwezo wa allah
 
Back
Top Bottom