Shuhuda zinazotolewa na baadhi ya makanisa ni za kweli?

gidlameck

JF-Expert Member
Jul 8, 2016
618
524
Kuna kitu napenda kuuliza hasa wakazi wa Dar, hivi haya makanisa ya Dar mbona wanahubiri sana kuhusu kufanikiwa na si kutubu na kuokoka sina maana mbaya ila ni tofauti sana na huku nilipotokea mimi ni mkulima tu wa vitunguu huko kati.

Kwa sasa nipo kwa uncle Dar na uncle ni muumini wa hizi dini za kisasa sasa hapa home ni channel za kidini tu labda taarifa ya habari ndio tunabadilisha channel hivi hizi shuhuda wanazotoa zina ukweli kwamba mchungaji alisema tuandike mahitaji kama hauna gari sijui ni nini wakaombewa na leo wana magari au ni ushamba tu unanisumbua.
 
Manabii wa uongo kazini. Wenzio wanawekeza katika mafanikio ya maisha ya duniani. Ya mbinguni hawana habari nayo. Wokovu kwao si priority
 
Back
Top Bottom