Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

Mabadiliko yanaanza na wewe. Mimi nimeweza kubaki na kg 72 kwa muda zaidi ya miaka 15. Siri kubwa ni mazoezi na kutokula hovyo. Mimi sio mlaji naweza hata kusahau kula.

Nikiongezeka sana 74kg, nikipungua sana 70kg. Kikawaida nakuwa na 72kg
72kgs kwa urefu gan?
 
Kwa miezi hii minne iliyopita hadi kufikia Januari hii nimeweza kupunguza kilo 7, kutoka kilo 86 hadi 79. Tupende mazoezi, tujiepushe na kula ovyo hasa vyakula vya mafuta na ikiwezekana ratiba za chakula muda wa jioni tusile milo mizito na matunda ndio yachukue nafasi ya milo ya jioni.

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Tukielekea mwishoni mwa mfungo wa mwezi wa Ramadhan badala ya kupungua nimeongezeka kilo moja. Kutoka 79Kgs hadi 80Kgs, natakiwa kupungua 8Kgs

ᵃʳᵉᵉᵐ
 
Hakuna njia bora ya kupunguza Uzito kama kufanya mazoez.. Naludia tena hakuna njia bora na nzuli ya kupunguza Uzito kama kufanya mazoez.. Hasa CARDIO EXERCISE.. Huku ukiwa makini na vyakula vyako..

Usiwe unatoka kufanya mazoez alafu unakimbilia maindi ya kuchoma tutaita work done = 0.. Zingatia mlo wako punguza matumiz ya vyakula vya wanga & sukali.. Ni kupunguza sio usitumie kabisa

Base sana kwnye protein, kunywa maji sio mpka uhisi Kiu. Matunda & mboga mboga.. N.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama bado unadhani Fat burning especially belly fat inaweza ondolewa na mazoezi unapoteza muda tuu... sana ukifanya intense au overtraining ya mazoezi ndivyo belly fat inaongezeka...
 
Sijaongelea belly fat mkuu nazungumzia njia nzul ya Kupunguz weight ni mazoez ya CARDIO ambayo yana gusa mwil mzma.. Na sio Ku target belly fat peke yake
Kama bado unadhani Fat burning especially belly fat inaweza ondolewa na mazoezi unapoteza muda tuu... sana ukifanya intense au overtraining ya mazoezi ndivyo belly fat inaongezeka...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna njia bora ya kupunguza Uzito kama kufanya mazoez.. Naludia tena hakuna njia bora na nzuli ya kupunguza Uzito kama kufanya mazoez.. Hasa CARDIO EXERCISE.. Huku ukiwa makini na vyakula vyako..

Usiwe unatoka kufanya mazoez alafu unakimbilia maindi ya kuchoma tutaita work done = 0.. Zingatia mlo wako punguza matumiz ya vyakula vya wanga & sukali.. Ni kupunguza sio usitumie kabisa

Base sana kwnye protein, kunywa maji sio mpka uhisi Kiu. Matunda & mboga mboga.. N.k

Sent using Jamii Forums mobile app
Noted, ushauri mzuri na wa kitaalamu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukielekea mwishoni mwa mfungo wa mwezi wa Ramadhan badala ya kupungua nimeongezeka kilo moja. Kutoka 79Kgs hadi 80Kgs, natakiwa kupungua 8Kgs

ᵃʳᵉᵉᵐ
Imebidi nirudi tena kwenye uzi huu baada ya mwezi mtukufu kuisha nimeongezeka kg 2 , na kitambi kimeanza kurudi kwa kasi 😤, jana tar 1 nimerudia utaratibu wa awali ulionipa matokeo chanya, hopefully nitafanikiwa tena safari hii.
 
Imebidi nirudi tena kwenye uzi huu baada ya mwezi mtukufu kuisha nimeongezeka kg 2 , na kitambi kimeanza kurudi kwa kasi , jana tar 1 nimerudia utaratibu wa awali ulionipa matokeo chanya, hopefully nitafanikiwa tena safari hii.
Binafsi ilinishangaza sana!
 
Binafsi ilinishangaza sana!
Kwangu ilikuwa ngumu kubalance ulaji wa futari, ukizingatia na swaum ya mchana kutwa basi intake ya iftar ikawa kubwa zaidi, unywaji wa maji ukawa mdogo zaidi kufananisha na siku za kawaida.

Hata mazoezi madogo madogo pia nilipumzika kipindi cha ramadan, hayo yote ilikuwa nilazima niongezeke tu 😅
 
Uzi huu umenipa mabadiliko makubwa, Sasa natembea/kukimbia na kutembea dk 200 kwa siku, Mara 3 kwa wiki

Nafanya crunches,squarts,na pushups Mara 2 kwa wiki
Siku nisipo kimbia naruka kamba mara 3000,

Nitaleta shuhuda baadae ....leo ni siku ya 60 ya mazoezi!
 
Fanya mazoezi, tena usijionee huruma. Mimi niliwahi kufikisha kg90 mwaka 2010, nilipoanza kupitia changamoto kadhaa nilianza kufanya mazoei. Kwa mfano nakimbia uwanja mkubwa 10 round, mara3 kwa wiki ,kwa sasa niko vizuri sana.
 
Habarini waungwana katika jukwaa hili tukufu la utanashati na ulimbwende, miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mlolongo wa tiba lishe, madawa, na mbinu nyinginezo za kupunguza uzito wa mwili, jambo ambalo bado halijaleta ufanisi kinyume na matarajio.

Hivyo kwa uzi huu naomba tupate mbinu, njia, lishe kwa wote waliofanikiwa kupunguza uzito kwa kutegemea lishe na mazoezi.

Hii itaongeza hamasa kwa kila aliye na matarijio ya kudhibiti uzito.

Karibuni
Mimi nimepungua kutoka 94 kgs mpaka 81 kgs kwa kufanya jogging kila siku kwa dakika 20 km 4
 
U
Fanya mazoezi, tena usijionee huruma. Mimi niliwahi kufikisha kg90 mwaka 2010, nilipoanza kupitia changamoto kadhaa nilianza kufanya mazoei. Kwa mfano nakimbia uwanja mkubwa 10 round, mara3 kwa wiki ,kwa sasa niko vizuri sana.
na kilo ngapi kwa sasa mwamba?
 
Back
Top Bottom