Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

Mimi nilipungua from 92kg to 68kg bila zoezi
Niliacha wanga na sukari kwa miezi 6
Nakula mihogo na mboga za majani for lunch,asubui mayai na maji ya moto au matunda tu usiku ni veggies na nyama za kuchemsha
Plus kunywa maji mengi ili upate choo,unavyozidi kupata choo unapungua kirahisi
Mihogo sio wanga mkuu?
 
Mabadiliko yanaanza na wewe. Mimi nimeweza kubaki na kg 72 kwa muda zaidi ya miaka 15. Siri kubwa ni mazoezi na kutokula hovyo. Mimi sio mlaji naweza hata kusahau kula.

Nikiongezeka sana 74kg, nikipungua sana 70kg. Kikawaida nakuwa na 72kg
Una urefu gani? Kupungua kilo sio sifa lazima factors zingine uziconside
 
December mwaka Jana nilikuwa na 87kg
nilitumia wiki 3 hadi ile ya 4 kufikisha 80kg
Kulingana na kimo cha urefu wangu napaswa kuwa na 76 hadi 77.6kg
hivyo nimebakisha 3 to 4kg.
Wakati naanza hata Ofisini walinambia wacha tuone!
Ila
Moja ya kitu nachomshukuru sana Mungu ni kunipa huo uwezo wa KUJIACHIA na KUJIPUNGUZA
coz hii sio mara ya kwanza wala ya Pili.
Nakumbuka
Nilijiachia hadi 100 na zaidi kg
Ila nikaziondoa
Leo nikimuona mtu anaesema kuwa hawezi kupungua
huwa namshangaa sana!!!!
Coz anaweza na huo uwezo anao ila labda tu hajaamua.
Lishe + zoezi (kutembea tu kila siku Asubuhi 30 mis
na Jioni 30 mins,
almost saa nzima)
Hongera ulipungua kg 7 ndani ya mwezi....sayansi inasema kadri mtu anachokuwa mnene zaidi ndivyo anapunguza kilo nyingi zaidi
 
December mwaka Jana nilikuwa na 87kg
nilitumia wiki 3 hadi ile ya 4 kufikisha 80kg
Kulingana na kimo cha urefu wangu napaswa kuwa na 76 hadi 77.6kg
hivyo nimebakisha 3 to 4kg.
Wakati naanza hata Ofisini walinambia wacha tuone!
Ila
Moja ya kitu nachomshukuru sana Mungu ni kunipa huo uwezo wa KUJIACHIA na KUJIPUNGUZA
coz hii sio mara ya kwanza wala ya Pili.
Nakumbuka
Nilijiachia hadi 100 na zaidi kg
Ila nikaziondoa
Leo nikimuona mtu anaesema kuwa hawezi kupungua
huwa namshangaa sana!!!!
Coz anaweza na huo uwezo anao ila labda tu hajaamua.
Lishe + zoezi (kutembea tu kila siku Asubuhi 30 mis
na Jioni 30 mins,
almost saa nzima)
Hongera ulipungua kg 7 ndani ya mwezi....sayansi inasema kadri mtu anachokuwa mnene zaidi ndivyo anapunguza kilo nyingi zaidi
 
Nilikuwa na kilo 98 bonge la kitambi,Bonge la paja,bonge la mkono,...watu mtaani wakaanza kuniita bonge...hamna kitu kiliniuma kama kuitwa bonge...nkaanza mazoez nkashindwa mwlili mzito viungo vinauma...jaribu diet nikashindwa njaa inauma mpaka kizunguzungu nkakata tamaa....mda ukapita ...watu wanazid kuniita bonge...

Nikaenda gym nkaambiwe nilipie elfu 80 kwa mwezi...nkaenda benk kuchukua pesa...huwez hamini niliiangalia ile pesa mkononi nkasema yaani naenda kutoa elfu 80 gym wakati viwanja viko bure tuu!?...nkazama mtumbani nkanunu raba rut ikaanza...Kimbia sana mwez mzima nkapungua kilo 3...nkasema ahaaa kumbe inawezekana nkapata na elimu ya lishe....ratiba ikawa hivi

....Nikapunguza vyakula vya wanga yaani ugari nilikuwa nakula saizi ya ngumi yangu...mboga za majani kwa wingi sna yaana
.....Nilikuwa nakula pale nnapojisikia njaaa(watu weng tumezoea kula mara tatu kwa siku lakini chakula tunachokula ni kingi so kinakutana tumbon) Ki afya unaruhusiwa kula hata mara sita kwa siku lakini kidogo kidogo(unapojisikia njaa$

.....Nikaacha kabisa soda na nyama nyekundu(baadae sana nkaanza kutumia maana ukiwa kwenye mazoez ya kupunguza mwil kuna kitu kinaitwa 'cheating day'

......Ratiba yangu ya mazoez ilikuwa kila sku asubuhi saa kumi na moja nkiamka kufanya ibada naamkia kiwanjani ...kukimbia,kuruka kamba,na mazoez ya viungo(Asikuambie mtu zoez la kukimbia ndo zoez bora la kupunguza uzito
....Jioni nkirud kazini naingia tena kiwanjani

....Nkawa fiti kuna kipind nkawa na uwezo wa kukimbia mpaka round 30 za kiwanja....nkisem nkimbie road work nnawez kimbia mpaka km 20,15
...Nikapungua kilo pamoja na uzito nkawa na mwili mdogo na wa kawaida....nikawa na enjoy maisha

...Kutokana na hari ya kuwa na pumzi ya kutosha nakanza kucheza football
Sasa mpira wetu wa uswahilini upati mda wa kujiandaa unatoka nyumbani kiwanjani....sipati mda mwing wa kufanya mazoez sana(nacheza beki ya kati)...ka mwili kamerud kidooogo sema ka kawaida sio mnene
...MUHIMU...ukiitaka kupunguza uzito

...Punguza ulaji wa sukar na wanga
....kula sana mboga za majani kunywa sna maji
.....fanya mazoez
Ukipungua kwa kufanya mazoez na kufuata lishe unakuwa phyisical...ukifanya tu diet unapingua kama mgonjwa mgonjwa hivi...haui physical yaani...so fanya yote

Ukishachanganya mazoez chagua siku ambayo utaaita 'cheatind day' hii siku usifanye diet wala usifanye mazoez yaan kula tu junk...masoda kula chips kula,nyama hata kilo we kula(japo unywe maji meng).....huo ndo ushuhuda wangu wakuu...na kipind unajizuia kula vitu vya sukari utakuta mwili unatamani kula vitu vya sukari...tumia Tende zitakupunguzia tamaa ya kula sukari
....vitu vingine namna ya kunywa maji...kunywa maji nusu saa kabla ya kula na nusu saa baada ya kula....nini faida yake?....

kunya maji kabla ya kula kutakufanya upunguze hamu ya kula...hivo hutokula chakula kingi....kinywa baada ya kula kutakusaidia digestion ifanyike kwa urahisi...tumezoea kunywa maji tukimaliza tu kula hii nimbaya maana inaifanya utumbo kuwa mtepemtepe hivo kupunguz digestion
....kula matunda kwanz alafu chakula na sio chakula alafu matunda

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Sana boss
 
Namshukuru kwa darasa zuri,naomba kuuliza,maji ya uvuguvu na limao ni kweli yanapunguza unene?
 
Watu wengi tunapenda kupungua na kula tunapenda na mazoezi hatuwezi.

Mimi sipendi kitambi kwahiyo I watch what I eat mpaka watu wananishangaa kama mko kwenye ki-function vile nakuwa selective kwenye kuweka chakula. Na kama haya maharusi ya kulishana saa tano usiku nitaweka zangu salad na kuku au samaki nimemaliza.

Nikifanya mazoezi labda sit-ups. Sili kubwa ya kupungua ni kwenye kile unakula.

Nilipokua mjamzito nilifika kilo 89. Baada ya kujifungua nikawa nimebaki nazo kama 80 hivi ila sasa hivi niko kwenye kilo zangu za miaka yote. Na sijawahi fanya mazoezi ya aina yoyote.

Kwa yeyote anaetaka kupungua pangilia mlo wako vizuri lazima utapungua.
Hellow. Naomba tusaidie japo mpangilio tuone sample.
 
Mimi sio mnene ila nazingatia tu diet..
1. Situmii soda kabisa
2. Situmii chipsi kabisa
3 Kila siku nakunywa maji lita 2-3
4 Mchana nakula ugali dona, mboga za majani na samaki( nyama huwa naskip)
5. Usiku nanunua tikiti zima na ndizi tano ndo chakula changu cha usiku!
6. Mazoezi mara chache chache
 
Mimi sio mnene ila nazingatia tu diet..
1. Situmii soda kabisa
2. Situmii chipsi kabisa
3 Kila siku nakunywa maji lita 2-3
4 Mchana nakula ugali dona, mboga za majani na samaki( nyama huwa naskip)
5. Usiku nanunua tikiti zima na ndizi tano ndo chakula changu cha usiku!
6. Mazoezi mara chache chache
Hapo kwenye tikitiki na ndizi fikiria upya,hayo yote Yana sukari sana.Jaribu parachichi na Tango hayana sukari
 
Back
Top Bottom