Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Nina tatzo la kuwah kufka kileleni ndani ya dakika nakuwa nmemalza na mashine kulegea ina kuwa ndogo na ninakuwa sina uwezo wa kurud round ya pil hata nifanyeje. Dem wangu akaniambia n tatzo la ukosefu wa nguvu za kiume.

Nilfanya jitihada ya kumtafuta docta mwaka. Nimeambiwa dozi n laki tatu na ishilin nataka kulipia lakn napata mashaka kama kuna mtu ashawah tumia dawa za docta mwaka na akapona msaada tafadhal isije nikatumia pesa nyingi na nisiwe oky
 
Huwa unapiga punyeto?
 
Nilipiga Sana nyeto na porn kwa Sana huku nyuma Kati miaka 13 -hadi 23 hivi .
Tena Ile nyeto ya sabunj daaah

Sababu ya kuavha nyeto sabunj ilikuwa inaniumiza so nikaacha.

Nilikuwa nakimbia from baruti to mlimani city daliy nikuwa fit kimazoezi .

Uume unasimama fresh kabisa Ila nikiweka tu chali

Nikaja gundua Mimi Sina tatizo Ni confidence yangu tu iko low na Kuna baadhi ya chakula niliacha kutumia Mara kwa mara mfano wali na chips.

Na nilianza Saka gemu huko na huku maana nilikuwa sijazoea papuchi nikiiona tu navibrate

So tatizo limepotea kabisa na siku niliyogundua Sina tatizo nilipiga show moja matatat Sana kwa sister mmoja ambaye nilijua atanitoa nishai

Ila from there Hadi leo tukikutana ananikubali maana aliomba mmaaah!!

Kama ulizaliwa hanithi Sawa Ila hakuzaliwa hivyo Mimi naamini Ni saikolojia yako inakufelisha .

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Mtafute jamaa anajiiya nguvu ya mapenzi instagram.. Milliard ayo huwa anamtangaza nadhani tiba kwake ni 30 tu unapona... Me namwamini kwa sababu anajua vitu vingi..

Ukishindwa tafuta vitunguu swaumu na mbegu za maboga ma asali jitaid kula kila siku
 
Nyeto mbaya mkuu... Sema ndo hivyo ukizoea kuacha ni kazi sana
 
Mtafute jamaa anajiiya nguvu ya mapenzi instagram.. Milliard ayo huwa anamtangaza nadhani tiba kwake ni 30 tu unapona... Me namwamini kwa sababu anajua vitu vingi..

Ukishindwa tafuta vitunguu swaumu na mbegu za maboga ma asali jitaid kula kila siku
Nashukuru sana mkuuu ilkuwa nilipie lak tatu na 20 kwa docto mwaka.
 
Mtafute jamaa anajiiya nguvu ya mapenzi instagram.. Milliard ayo huwa anamtangaza nadhani tiba kwake ni 30 tu unapona... Me namwamini kwa sababu anajua vitu vingi..

Ukishindwa tafuta vitunguu swaumu na mbegu za maboga ma asali jitaid kula kila siku
Mbegu za maboga nazitumiaje mkuu
 
I had the same problem 2 years ago! Testosterone level was low! Daktari anayetibu tatizo hili anaitwa endocrinologist! Anakuwa ni mtaalamu aliyesomea mfumo wa homoni, sababu za kushuka kwa hizi homoni ni nyingi Kama poor diet, ulevi na kadhalika.
mazoezi kama vile kunyanyua vitu vizito, kukimbia, na mazoezi ya Kegel yanapandisha testosterone na circulation kwenye mishipa ya viungo hivyo
 
tunaomba mrejesho mkuu
Mkuu ckupata nafuu tatzo lilkuwa pale pale. Tuwe makin kwenye hizi tiba rishe nmetumia tiba rishe nying kutoka kampun tofaut tofaut kwa gharama kubwa bado cjafanikiwa na bado napambana. Nashauri tu yeyote atakayetaka kuchukua hzo tba rishe awe makini kidogo asije akapoteza pesa kama mimi.
 
Mkuu tiba ya hospitalini vp ushapata
 
Mkuu ckupata nafuu tatzo lilkuwa pale pale. Tuwe makin kwenye hizi tiba rishe nmetumia tiba rishe nying kutoka kampun tofaut tofaut kwa gharama kubwa bado cjafanikiwa na bado napambana. Nashauri tu yeyote atakayetaka kuchukua hzo tba rishe awe makini kidogo asije akapoteza pesa kama mimi.
Navip unaumri gani mkuu
 
NATAMANI SERIKALI IFUNGE HIZI TIBA LISHE,NI UHUNI TU,HUWEZI KUCHEZA NA AFYA ZA WATU,WALE NI WAFANYABIASHARA HAWAJUI LOLOTE KUHUSU AFYA;
 
Back
Top Bottom