Shuhuda: Hata kama hujaolewa na umefikisha miaka 40, usikate tamaa zamu yako yaja

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,680
22,685
Baada ya kufiwa na mkewe mwaka jana, Askofu mkuu mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Meru Mhe. Mhasham lsaack Akyoo (76) afunga pingu za maisha l tarehe 31/12/2016 Usa River.

IMG-20170102-WA0003.jpeg
 
Ubaya ni kuwa wanaume walioenda age hawaoi wanawake walioenda age wanaoa mabinti wakuwalea sanasana wenye pesa ndio wanaolewa na miaka hiyo we mwangalie uyo binti bado mdogo
 
Ila wanaume ni majasiri, yaani kafiwa mwaka jana, mwaka uliofuata akafunga pingu za maisha! mmm ukiona hivyo labda alikuwa anamjua huyo bibie hata kabla my wife wake hajaaga dunia!

Yaani kizee kama hicho kikinioa mie mwenye umri mdogo nitahakikisha ile jioni nakiogesha safiii, nakipaka mafuta ya mgando mwili mzima (babycare) nakafunika blanketi zitoo kanatoka jasho mie naenda zangu misele kupigwa miti ya uhakika:D:D
 
Heheheheheh hahahahahah pumbavu sana sasa utakuwa ulishikiwa fimbo kuolewa au
 
Ila wanaume ni majasiri, yaani kafiwa mwaka jana, mwaka uliofuata akafunga pingu za maisha! mmm ukiona hivyo labda alikuwa anamjua huyo bibie hata kabla my wife wake hajaaga dunia!

Yaani kizee kama hicho kikinioa mie mwenye umri mdogo nitahakikisha ile jioni nakiogesha safiii, nakipaka mafuta ya mgando mwili mzima (babycare) nakafunika blanketi zitoo kanatoka jasho mie naenda zangu misele kupigwa miti ya uhakika:D:D

Ilitakiwa akae miaka mingapi kabla ya kuoa tena??
 
Aiseeeeh mbona roho ngumu hivyo
 
Ilitakiwa akae miaka mingapi kabla ya kuoa tena??
rubii, japo mitatu. hata hivyo wanaume ni tofauti na sie wanawake! sidhani kama ingekuwa yeye ndie kafariki mama angeolewa fasta namna hiyo! halafu swali la kujiuliza yaani ndani ya mwaka mmoja alimtafuta lini huyo mchumba, aka mstudy hadi kufunga pingu za maisha!
 
Miaka 3 mtarimbo unakua umelala doro??
heri kuoa ama kuolewa kulikoni kuzini mpendwa...
 
Ila wanaume ni majasiri, yaani kafiwa mwaka jana, mwaka uliofuata akafunga pingu za maisha! mmm ukiona hivyo labda alikuwa anamjua huyo bibie hata kabla my wife wake hajaaga dunia!

Yaani kizee kama hicho kikinioa mie mwenye umri mdogo nitahakikisha ile jioni nakiogesha safiii, nakipaka mafuta ya mgando mwili mzima (babycare) nakafunika blanketi zitoo kanatoka jasho mie naenda zangu misele kupigwa miti ya uhakika:D:D
ama kweli hamuwez ku savaive bla kupgwa mitivya uhakika na iliyoenda shule
 
Baada ya kufiwa na mkewe mwaka jana, Askofu mkuu mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Meru Mhe. Mhasham lsaack Akyoo (76) afunga pingu za maisha l tarehe 31/12/2016 Usa River.
mkuu..!
uliposema wanawake wenye 40 wasikate tamaa nilijua huyo mchungaji amemuoa mwanamke mwenye 40+
kumbe kaoa binti yake..

Ukweli Bila kuficha ficha ni kwamba; Sio lazima kila mwanamke aolewe.. kuna wengine watahudhuria shughuli za wenzao hadi wanakufa..
 
Baada ya kufiwa na mkewe mwaka jana, Askofu mkuu mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Meru Mhe. Mhasham lsaack Akyoo (76) afunga pingu za maisha l tarehe 31/12/2016 Usa River.
Huyu bint cjui kakosa nn ila show hakuna ataishia kuchepuka nje na haka kazee kakizima Leo ataishia kuitwa single mother nakukosa wakuoa,
 
Back
Top Bottom