Shuhuda: Hata kama hujaolewa na umefikisha miaka 40, usikate tamaa zamu yako yaja

Si kwa babu huyo huyu babu angetulia tu alee wajukuu zake jamani!! Wanawake tuna moyo....yaan mtu unajilipua hauogopi hata kuitwa mjane mapema
 
Halafu huyu askofu alitaka awe Mkuu wa KKKT kipindi flani, kweli Mungu anajua kuliko sisi binadamu!
 
Hakua dereva tax ndani ya miez 5 aliolewa na muislamu na kufunga ndoa ya kislamu ndugu Wa mwanaume walimnyanganya nyumba gar bada yakuolewa na huyo muislam afu watoto kwa kua walikua wanasoma English medium askofu aliwachukua kuwalea huu uaskofu cjui uchungaji wengi wanamichepuko kibao huyu bint yawezekana alikua na mahusiano na huyu kizee kabla mana ata mwaka hujaisha tayar kuoa haiwezekani
Dah nimeshangaa sana na kusikitika juu
 
Katika watu waliowahi kutia aibu basi na mke wa marehemu sedekia ni mmojawapo
 
Hakua dereva tax ndani ya miez 5 aliolewa na muislamu na kufunga ndoa ya kislamu ndugu Wa mwanaume walimnyanganya nyumba gar bada yakuolewa na huyo muislam afu watoto kwa kua walikua wanasoma English medium askofu aliwachukua kuwalea huu uaskofu cjui uchungaji wengi wanamichepuko kibao huyu bint yawezekana alikua na mahusiano na huyu kizee kabla mana ata mwaka hujaisha tayar kuoa haiwezekani
Hiyo ya mke wa Sedekia haina ukweli, hajaolewa mpaka sasa
 
Ila wanaume ni majasiri, yaani kafiwa mwaka jana, mwaka uliofuata akafunga pingu za maisha! mmm ukiona hivyo labda alikuwa anamjua huyo bibie hata kabla my wife wake hajaaga dunia!

Yaani kizee kama hicho kikinioa mie mwenye umri mdogo nitahakikisha ile jioni nakiogesha safiii, nakipaka mafuta ya mgando mwili mzima (babycare) nakafunika blanketi zitoo kanatoka jasho mie naenda zangu misele kupigwa miti ya uhakika:D:D

Mwache askofu aoe, hana karama ya upweke. Angeanza kuchukua wanawake bila utaratibu mngesema. Ameamua kuoa kihalali napo mnasema. Kupanga ni kuchagua, kuliko kuishi maisha ya uzinzi ya kutompendeza Mungu ni bora aoe.
 
rubii, japo mitatu. hata hivyo wanaume ni tofauti na sie wanawake! sidhani kama ingekuwa yeye ndie kafariki mama angeolewa fasta namna hiyo! halafu swali la kujiuliza yaani ndani ya mwaka mmoja alimtafuta lini huyo mchumba, aka mstudy hadi kufunga pingu za maisha!
Wanawake kusubiri miaka 3 siyo kwamba wana upendo kuliko wanaume. Labda ukikaa bila kuolewa na wala kugegedwa hapo ndo naweza kuamini ulipenda. Mbali na hapo wengi wanafanya kama show off jamii isiwafikirie vingine lakini si kwamba walikuwa na upendo wa kihivyo.
 
Ila wanaume ni majasiri, yaani kafiwa mwaka jana, mwaka uliofuata akafunga pingu za maisha! mmm ukiona hivyo labda alikuwa anamjua huyo bibie hata kabla my wife wake hajaaga dunia!

Yaani kizee kama hicho kikinioa mie mwenye umri mdogo nitahakikisha ile jioni nakiogesha safiii, nakipaka mafuta ya mgando mwili mzima (babycare) nakafunika blanketi zitoo kanatoka jasho mie naenda zangu misele kupigwa miti ya uhakika:D:D
mshenzi wa tabia wewe umenishinda khaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom