Shughuli yote nzuri ya kilele Cha Simba day imetiwa dosari na uletaji wa jeneza uwanjani

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,185
9,626
Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya Afrika

====

Tendo hili ni kufuru kwa ishara zilizotakatifu kwa Imani yaani Msalaba. Kutumia msalaba kudhihaki ni dharau na kufuru kubwa kwa waamini wakristu na wote wanaoamini kwamba walikombolewa katika msalaba huo. Ni tusi kubwa kwao. Mbaya zaidi kuvaa mavazi yanayofanana na yale yanayotumiwa katika ibada takatifu ni kuzifanya ibada za Kikristo kichekesho. Inasikitisha sana. Sikutegemea tumefikia hatua hiyo.

NI TUMAINI LETU KWAMBA UONGOZI WA SIMBA UTALAANII KITENDO HIKI NA KUOMBA SAMAHANI KWA WAAMINI WAKRISTO.

Askofu Method Kilaini
FB_IMG_1660058869029.jpg
 
Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya Afrika
Nakubaliana na wewe, Tulia Akson alipofanya hivi wenye akili wote walimsema. Kwa hadhi ya Wasanii Kama wale hapana.
 
Wasaniii walioingia uwanjani wangeweza kufikisha ujumbe vizuri na kuleta shangwe hata bila kubeba jeneza, vitendo hivi kwa Karne hii hatupaswi kuvichekea tu maana vinatupa aibu site Tena kufanywa na klabu kubwa hapa Afrika Kama Simba, ambayo unafuatilia na wapenzi wa kandanda kila pembe ya Afrika
Hii Ni aibu kabisa
Mshana Jr
Mkuu .....uletwaji wa ilo dude (coffin) uwanjani..kulikuwa na maana gsni
 
Imenikumbusha machungu makuu.. Hadi furaha ya simba ya day ikatoweka...

Hawa wasanii hizi content zao ziwe zinahakikiwa na watu wenye akili timamu
Wameleta aibu sanaa, ebu jaribu kufikiria mtu aliyetoka kwenye majonzi halafu akasema ngoja aende uwanjani kuangalia mpira na kupoteza mawazo, Halafu mwisho wa siku anaona kitu Kama kile kinaletwa uwanjani, unazani atajisikiaje, bila Shaka utamrudisha katika majonzi ndani ya moyo wake
 
Back
Top Bottom