singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Januari 24, 2016. Kutoka kushoto ni Dkt. Raphael Chegeni wa Busega, Adadi Rajabu wa Muheza na Jason Rweikiza wa Bukoba Vijijini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Busega, Dkt.Raphael Chegeni kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Januari 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Busega, Dkt.Raphael Chegeni kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Januari 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).