Shughuli ipi ya kiuchumi kati ya hizi inamfaa mwanachuo?

Mr Confidential

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,492
2,357
Wakuu habari za saa, Naomba ushauri juu ya shughuli za kiuchumi ambazo hazitaathiri sana ratiba ya mwanachuo. (wa dar)

1. Ufugaji wa kuroiler (mkoani )

2. Kilimo cha mpunga (shadidi ), Morogoro

Ipi kati ya shughuli hizi ina returns nzuri?
Ipi kati ya shughuli hizi ina capital ndogo?

Karibuni
Mr Confidential
 
Kwa hiyo mkuu kuna kuroiler na broiler ? naomba msaada nami nielewe
 
Broiler ni kuku wa kisasa maalum kwa nyama tu. Ukuaji wao huchukua wiki nne hadi sita.

Kuroiler ni kuku chotara maalum kwa nyama na mayai. Muonekano wake ni kama kuku wa kienyeji. Wanavumilia magonjwa japo ni muhimu sana kuwapa chanjo.

Ukuaji wao huchukua miezi 4 hadi 6 (yaani hadi kuanza kutaga). Wanakula chakula cha kawaida kabisa tofauti na broilers. Lakini chakula kiwe na virutubisho vyote ili kupata mavuno mazuri (si vema kuwapa pumba pekee ).

Natumai umenielewa
 
shukran sana
 
Kama umeshawahi kufuga kuku ukasimamia ufugaji wako wewe mwenyewe hata kwa muda wa miaka miwili Ufugaji utakuwa rahisi kufanya hata ukiwa mbali, lakini kama ndiyo first time utakuwa siyo rahisi kusimamia, hata hivyo nimatumaini yangu bado inawezekena.

Kuhusu kilimo cha mpunga sina cha kushauri sababu sijawahi lima mpunga
 
Msomi mzima wa chuo hujitambui juu ya biashara gani inakufaa!! Mbona aibu hii tukikupa project ya kuleta tija katika jamii ndo utaweza kweli au ndo utaenda tena vilabuni kuiliza walevi wakupe mawazo..
Nilitegemea ulete ushauri na full details za biashara sahihi amabayo mwanachuo anatikiwa kuifanya na Wala siyo kuja kutufanya Sisi tuumize kichwa Tena . Wasomi jirekebishen bwana mnajidharirisha Sana aisee
 
Kaka unakosea unavyosema hivyo ,haina maana kwamba yeye kuuliza hivyo hajui biashara gani ya kufanya Bali anahitaji kupata experience na mawazo mbalimbali kutoka kwenu by the way kuuliza si ujinga wewe ungetoa ushauri na kama hukuwa na chochote cha kuongea ungenyamaza tu coz siyo lazima uchangie kila kilicho mbele yako
 
Ume andika crap ..una itaji tution
Msomi mzima wa chuo hujitambui juu ya biashara gani inakufaa!! Mbona aibu hii tukikupa project ya kuleta tija katika jamii ndo utaweza kweli au ndo utaenda tena vilabuni kuiliza walevi wakupe mawazo..
Nilitegemea ulete ushauri na full details za biashara sahihi amabayo mwanachuo anatikiwa kuifanya na Wala siyo kuja kutufanya Sisi tuumize kichwa Tena . Wasomi jirekebishen bwana mnajidharirisha Sana aisee
 
Kama umeshawahi kufuga kuku ukasimamia ufugaji wako wewe mwenyewe hata kwa muda wa miaka miwili Ufugaji utakuwa rahisi kufanya hata ukiwa mbali, lakini kama ndiyo first time utakuwa siyo rahisi kusimamia, hata hivyo nimatumaini yangu bado inawezekena.

Kuhusu kilimo cha mpunga sina cha kushauri sababu sijawahi lima mpunga
Asante sana kwa mchango wako. Nimepata kitu
 
Wakuu habari za saa, Naomba ushauri juu ya shughuli za kiuchumi ambazo hazitaathiri sana ratiba ya mwanachuo. (wa dar)

1. Ufugaji wa kuroiler (mkoani )

2. Kilimo cha mpunga (shadidi ), Morogoro

Ipi kati ya shughuli hizi ina returns nzuri?
Ipi kati ya shughuli hizi ina capital ndogo?

Karibuni
Mr Confidential
kuuza ganji
 
Ukipata bahati ya kuamua kufuga kuku ufuge SASO wana gain weight mapema kuliko kroiler, ukihitaji jinsi ya kuwapata nitakutafutia address ya kampuni au ingia google andika sivlerland TZ utapata address utawatafuta kwa vifaranga na feeds.
 
Back
Top Bottom