Shughuli alizoshiriki Mnyika za kichama na za UKAWA ni zipi?

DR.RWEYENDERA

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
404
386
Ndugu wasomaji inahitaji umakini sana kuweza kucheza na siasa za Tanzania nchi yenye mazingaombwe katika kila chama,
Ukianza na CCM wana mazingaombwe yao tena yanatisha sana, na sina haja ya kuyataja maana yanajulikana,
CHADEMA mazingaombwe maarufu yamechezwa na wanachama hasa wa ngazi za juu sana , najiuliza, kulikuwa na haja gan ya kutokubaliana mwanzo kabla ya ujio wa bwana lowassa, ambaye ni icon kwa sifa flan flan hapa Tanzania?

Wengi tulianza na bado wengi wana iman na chama cha democrasia na maendeleo ila wajanja wanaoona mbali wameanza kuwa kimya maana isije ikawa unamsema MTU ambaye Siku za baadae ndo bosi wako wa chama, unaweza kumsema akkwa chama kingine kumbe anakuka kuwa boss wako na mnakaa vikao pamoja, hivyo ni heri kuwa mkimya,

Siku za karibuni imeibuka issue ya mnyika kuwa kimya au kukanusha, kiutaratibu hashinikizwi na MTU kutamka chochote, ila wanachama wasiojua kusoma dalili wanadhan kuna jipya tena, tutumie njia ndogo tu kujiuliza he mnyika kama yuko kimya anaweza kuwa busy na mambo yake au kaamua tu

Je anashiriki shughuli zinazoendelea za kichama, kama vile maafari mbalimbali hata kama yamepigwa marufuku lakin walau angeonekana kama kina mwalimu, au wengine watajiuliza je mbona wanapoziba midomo na tishu mnyika hatokei?

Sababu zinazo weza kuwa zimemfanya kuwa kimya yaweza kuwa moja wapo
1. Ana aibu juu ya alivyomsema lowassa nyuma
2. Hakubaliani na chama kinavyoendeshwa,
3. Yuko busy na shughuli za jimbo
4. Labda mgao tuliosikia wa billion katika ujio wa lowassa hakupata
5. Yuko busy na shule anajiendeleza
6. Kaumia kuukosa ukatibu mkuu labda ,
7. Anashauriwa na dk slaa
 
John Mnyika na Halima Mdee ni Vijana walioamua kwa dhati kabisa kutoka ndani ya sakafu ya Mioyo yao kupinga Ufisado na Mafisadi popote walipo bila ya kujali athari za kisiasa zitakazowakabili.
 
umeacha kuhoji kazi za Katibu Mkuu Wa mfukoni unahoji mmnyika. ila hili chadema hamlioni ingekuwa CCM mishipa ingewatoka vilivyo
 
Ndugu wasomaji inahitaji umakini sana kuweza kucheza na siasa za Tanzania nchi yenye mazingaombwe katika kila chama,
Ukianza na CCM wana mazingaombwe yao tena yanatisha sana, na sina haja ya kuyataja maana yanajulikana,
CHADEMA mazingaombwe maarufu yamechezwa na wanachama hasa wa ngazi za juu sana , najiuliza, kulikuwa na haja gan ya kutokubaliana mwanzo kabla ya ujio wa bwana lowassa, ambaye ni icon kwa sifa flan flan hapa Tanzania?

Wengi tulianza na bado wengi wana iman na chama cha democrasia na maendeleo ila wajanja wanaoona mbali wameanza kuwa kimya maana isije ikawa unamsema MTU ambaye Siku za baadae ndo bosi wako wa chama, unaweza kumsema akkwa chama kingine kumbe anakuka kuwa boss wako na mnakaa vikao pamoja, hivyo ni heri kuwa mkimya,

Siku za karibuni imeibuka issue ya mnyika kuwa kimya au kukanusha, kiutaratibu hashinikizwi na MTU kutamka chochote, ila wanachama wasiojua kusoma dalili wanadhan kuna jipya tena, tutumie njia ndogo tu kujiuliza he mnyika kama yuko kimya anaweza kuwa busy na mambo yake au kaamua tu

Je anashiriki shughuli zinazoendelea za kichama, kama vile maafari mbalimbali hata kama yamepigwa marufuku lakin walau angeonekana kama kina mwalimu, au wengine watajiuliza je mbona wanapoziba midomo na tishu mnyika hatokei?

Sababu zinazo weza kuwa zimemfanya kuwa kimya yaweza kuwa moja wapo
1. Ana aibu juu ya alivyomsema lowassa nyuma
2. Hakubaliani na chama kinavyoendeshwa,
3. Yuko busy na shughuli za jimbo
4. Labda mgao tuliosikia wa billion katika ujio wa lowassa hakupata
5. Yuko busy na shule anajiendeleza
6. Kaumia kuukosa ukatibu mkuu labda ,
7. Anashauriwa na dk slaa
Miaka miwili iliyopita sababu namba nane ingekuwa Zitto anatumika kumrubuni.
 
Mnyika alimkataa Lowassa
Hata kumnyima cheo cha KATIBU MKUU ni kama adhabu
Mbowe muombeni msamaha Mnyika then mumuondoe huyu Katibu wenu uchwara
 
Tokea lini umekuwa mwana Chadema wewe kiazi? Chadema hatuna kiongozi uchwara labda huko ccm na mwenyekiti wenu mtarajiwa.
CCM wabovu
CHADEMA wabovu zaidi

Mabadiliko yenu mliyo yaita eti kubadili gia angani ndiyo yameizika CHADEMA!Sasa wala hamueleweki sera yenu ni nn!Kwenye kupinga ufisadi hampo na kwenye kueneza utawala bora hampo pia

Katibu Mkuu wa CHADEMA ni kiongozi UCHWARA kabisa
 
Chadema hakukaliki
By Vuta Nkuvute wa Chadema (safarini Hai kwa sasa)
 
Ukiona mawazo yako yanatofautiana na umma kama ni ya manufaa toa ushauri sio kukaa kimya.

Pia mtu halazimishwi kukaa katika chama .
Mwanasiasa ni mwananchi kama wananchi wengine anaweza kuacha Siasa ukafanya kazi nyingine .
 
ukawa mwendo mdundo hatubembelezi mtu! kama kuondoka waliondoka kina Slaa na lipumba tena kipindi kigumu mnoo! lakini ukawa tuliwabana sana CCM hadi kufanikiwa kuwa na wawakilishi wengi kuliko kipindi chochote! nadhani ni mashaidi?!
Kama Mnyika naye karubuniwa siyo mbaya Ila Akae Akijua Wazi UKAWA IPO NA ITAENDELEA KUWEPO! hata yeye alikikuta chama kwahiyo kukiacha ni hiyari yake napia nasikitika kwa UNAFIKI WAKE KAMA HALIKUWA HAMTAKI BWANA LOWASSA KWA NINI HAKUSEMA hawali kama wenzie?!
 
Back
Top Bottom