DR.RWEYENDERA
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 403
- 386
Ndugu wasomaji inahitaji umakini sana kuweza kucheza na siasa za Tanzania nchi yenye mazingaombwe katika kila chama,
Ukianza na CCM wana mazingaombwe yao tena yanatisha sana, na sina haja ya kuyataja maana yanajulikana,
CHADEMA mazingaombwe maarufu yamechezwa na wanachama hasa wa ngazi za juu sana , najiuliza, kulikuwa na haja gan ya kutokubaliana mwanzo kabla ya ujio wa bwana lowassa, ambaye ni icon kwa sifa flan flan hapa Tanzania?
Wengi tulianza na bado wengi wana iman na chama cha democrasia na maendeleo ila wajanja wanaoona mbali wameanza kuwa kimya maana isije ikawa unamsema MTU ambaye Siku za baadae ndo bosi wako wa chama, unaweza kumsema akkwa chama kingine kumbe anakuka kuwa boss wako na mnakaa vikao pamoja, hivyo ni heri kuwa mkimya,
Siku za karibuni imeibuka issue ya mnyika kuwa kimya au kukanusha, kiutaratibu hashinikizwi na MTU kutamka chochote, ila wanachama wasiojua kusoma dalili wanadhan kuna jipya tena, tutumie njia ndogo tu kujiuliza he mnyika kama yuko kimya anaweza kuwa busy na mambo yake au kaamua tu
Je anashiriki shughuli zinazoendelea za kichama, kama vile maafari mbalimbali hata kama yamepigwa marufuku lakin walau angeonekana kama kina mwalimu, au wengine watajiuliza je mbona wanapoziba midomo na tishu mnyika hatokei?
Sababu zinazo weza kuwa zimemfanya kuwa kimya yaweza kuwa moja wapo
1. Ana aibu juu ya alivyomsema lowassa nyuma
2. Hakubaliani na chama kinavyoendeshwa,
3. Yuko busy na shughuli za jimbo
4. Labda mgao tuliosikia wa billion katika ujio wa lowassa hakupata
5. Yuko busy na shule anajiendeleza
6. Kaumia kuukosa ukatibu mkuu labda ,
7. Anashauriwa na dk slaa