Shugar mummy wapi?

Mu-sir

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,621
1,629
Jamani na mimi nimechoka na mapenzi ya ubabaishaji sasa nahitaji mwanamke wa kunilea kistaarabu as a shugar mummy. Aliye serious ani PM for next step. Fist com first served.
 
Jamani na mimi nimechoka na mapenzi ya ubabaishaji sasa nahitaji mwanamke wa kunilea kistaarabu as a shugar mummy. Aliye serious ani PM for next step na asiwe na umri zaidi ya 40 yrs.

Kijana, inaelekea hujui nini maana ya sugar mummy!
 
Jamani na mimi nimechoka na mapenzi ya ubabaishaji sasa nahitaji mwanamke wa kunilea kistaarabu as a shugar mummy. Aliye serious ani PM for next step na asiwe na umri zaidi ya 40 yrs.
viumbe wa aina hii nna mashaka na uanaume wao...!!
 
niko tayari kusahihishwa but tha is what i want.

What I meant is, normally sugarmommies are aged financially secured women, who are looking for toyboy like you. Someone below 40 doesn't fall into definition of sugarmommy. :)
 
Jamani na mimi nimechoka na mapenzi ya ubabaishaji sasa nahitaji mwanamke wa kunilea kistaarabu as a shugar mummy. Aliye serious ani PM for next step. Fist com first served.

Unamdhalilisha Mungu kwa sababu hutaki kusimama kny nafasi yako kama mwanaume,pia unadhalilisha wazazi wako na wewe mwenyewe.
 
Inaeleke kijana hana kazi maisha yamemwendea kombo ,keshakuwa kama wanamuziki wa kizaire wanaopendwa kubwebwa na mianamike sawa na mama zao,kwa kijana wa kitanzania ni aibu kutaka maisha ya kubebwa,kazi ziko nyingi si afadhali hata uchome mihogo au uoshe magari,kama uko Dar njoo Sinza nikupe kazi ya kuosha magari
 
What I meant is, normally sugarmommies are aged financially secured women, who are looking for toyboy like you. Someone below 40 doesn't fall into definition of sugarmommy. :)

if that is the case then it is what i really want.
 
kuna jamaa mmoja alitokewa na sugarmummy akalishwa hadi kasema basi, kapewa bia hadi kasema inatosha, mama akamuuliza nini tena unataka kijana wangu mzenzi nikupe ili ukanishughulikie vizuri, kijana akajibu "NITAFUTIE BASHA AKANI**** " Mama akasema kwa heri kumbe nimeopoa kishoga
 
Kuwa na Mashori wengi si kipimo cha Urijali, kama mwanaume wa kweli, nyumbani wapate Ugali

nimeipenda hii,nadhani kwa njia moja au nyingine inaweza mfaa mtoa mada wetu,mi sina cha kumwambia coz neno la kanisani leo limefanya niwe mpole kidogo.
 
Inaeleke kijana hana kazi maisha yamemwendea kombo ,keshakuwa kama wanamuziki wa kizaire wanaopendwa kubwebwa na mianamike sawa na mama zao,kwa kijana wa kitanzania ni aibu kutaka maisha ya kubebwa,kazi ziko nyingi si afadhali hata uchome mihogo au uoshe magari,kama uko Dar njoo Sinza nikupe kazi ya kuosha magari

ahsante mkuu but i'm not lyk that.
 
Back
Top Bottom