Shs. 2 bilioni zatengwa kugharamia Tathmini ya Athari za Mazingira 2016/2017

Kagondo

JF-Expert Member
Jun 6, 2016
296
79
SERIKALI imetenga jumla ya Shs. 2 bilioni kama kianzio kwa lengo la kusimamia mkakati wa kufanya tathmini za athari za mazingira kwa mwaka wa fedha 2016/2017.

Ili kukabiliana na changamoto za mazingira, Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mzingira), January Makamba alibainisha kuwa, Serikali kupitia Wizara yake imeutengea Mfuko wa Taifa wa Mazingira vyanzo vya mapato yanayokadiriwa kufikia Shs. 100 bilioni ikiwa ni juhudi za kugharamia mpango wa tathmini wa athari na mipango mingine ya mazingira.

Zaidi soma

Shs. 2 bilioni zatengwa kugharamia Tathmini ya Athari za Mazingira 2016/2017 | Fikra Pevu
 
Back
Top Bottom