Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
SERIKALI imetenga jumla ya Shs. 2 bilioni kama kianzio kwa lengo la kusimamia mkakati wa kufanya tathmini za athari za mazingira kwa mwaka wa fedha 2016/2017.
Ili kukabiliana na changamoto za mazingira, Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mzingira), January Makamba alibainisha kuwa, Serikali kupitia Wizara yake imeutengea Mfuko wa Taifa wa Mazingira vyanzo vya mapato yanayokadiriwa kufikia Shs. 100 bilioni ikiwa ni juhudi za kugharamia mpango wa tathmini wa athari na mipango mingine ya mazingira.
Hatua hiyo ni katika kutekeleza mkakati wa miaka mitano wa mazingira ambao unaanza kutekelezwa kuanzia mwaka 2016 hadi 2021 na unakadiriwa kugharimu ...
Soma zaidi hapa=> http://www.fikrapevu.com/shs-2-bilioni-zatengwa-kugharamia-tathmini-ya-athari-za-mazingira-20162017/