Shree hindu mandal primary school iko wapi?

Pilitoni

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
1,190
497
Wadau.
Napenda kujulishwa mahali ilipo shree hindu mandal primary school dar es salaam
 
Ipo makumbusho-Kijitonyama pale kijiji cha makumbusho ya Taifa na lile ghorofa ya LAPF, kuna barabara inakua inaenda mikocheni fuata hiyo barabara ni KM 2 kutoka barabara ya rami
 
Back
Top Bottom