Show za Diamond zaendelea kufanya vibaya huko ugaibuni (USA)

Mimi ni shabiki wa Diamond ila ukweli usemwe jamaa kadrop, akitoa wimbo hakuna anaestuka kama zamani, kuna kipindi alikuwa level sawa na kina Davido na Wizkid ila sahivi wamemwacha mbali mno. Cheki show anazofanya Davido/Wizkid then rudi kwa Diamond, what a joke! Ajipange tu kibiashara zaidi maana zama zake kimuziki naona zinaelekea ukingoni na umaarufu wake unapungua, kuna kipindi alikuwa anakaribia kulingana followers wa Insta na Davido ila sasa kaachwa mbali
 
Watu wamechoka na Madrama ya Ngono.

Ishtoshe miaka ya hivi karibuni Hit aliyotoa yenye afadhali ni Halelluyah
 
Watu wamechoka na Madrama ya Ngono.

Ishtoshe miaka ya hivi karibu Hit aliyotoa yenye afadhali ni Halelluyah
Halafu ngoma zake akitoa zinavuma wiki 1 tu insta then zinapotezewa, hapo inabidi ajiulize tatizo nini. Iyena/Alleluyah zimesumbua insta na U-Tube ila mtaani huzisikii kabisa. Ndo kama ulivyosema watu wanafatilia drama zake na familia yake kuliko muziki
 
Zinasumbua Instagram kutokana na Drama zinazokuwa zimeambatana na Ngoma husika. YouTube zinaangaliwa sana kutokana pia hizo Drama pamoja na ukubwa wa fanbase waliyo nayo kwasasa.

Hata Marombosso na Lavalava ambao kwa tafsiri yangu hawana HIT, wanatembelea hiyo fanbase.

Kuhusu wimbo kuwa HIT hilo ni suala jingine. Mfano at least 'Kwangwaru' kama imeHIT
 
No doubt KWANGWARU ndio the biggest hit tangu mwaka huu uanze
 
Kwa kweli hali ya msanii wetu inazid kuwa mbaya mpaka anatia huruma. Show zake nyingi zime~flop mpaka team zari wanamwita Diamond the flopnumz yaani hai ni mbaya. Lakini hii kwa maoni yangu naona tatzo ni yeye maana imefikia kipindi amekuwa siyo mwanamziki tena bali socialite. Watu wanafatilia sana maisha yake na familia yake kuliko mziki ajitathimin upya maana hali itazid kuwa mbaya zaidi. Diamond wa sasa siyo yule wa miaka mitatu kurudi nyuma aliyekuwa akitia wimbo nchi nzima inasimama. Siku hizi akitoa wimbo watu hata hawashtuki tena.
Wivu 100%
 
Kuna watanzania wana roho mbaya sana hivi unafikiri kufanya shoo USA ni kazi rahisi sana,nimefuatilia shoo za Diamond karibia zote zimejaa watu, sijui mnatakaje,Ukiona mtu ana wivu na roho mbaya kama ya mleta mada wengi wao ni maskini wa kutupwa wapo wapo tu kusogeza siku.
 
Kwa kweli hali ya msanii wetu inazid kuwa mbaya mpaka anatia huruma. Show zake nyingi zime~flop mpaka team zari wanamwita Diamond the flopnumz yaani hai ni mbaya. Lakini hii kwa maoni yangu naona tatzo ni yeye maana imefikia kipindi amekuwa siyo mwanamziki tena bali socialite. Watu wanafatilia sana maisha yake na familia yake kuliko mziki ajitathimin upya maana hali itazid kuwa mbaya zaidi. Diamond wa sasa siyo yule wa miaka mitatu kurudi nyuma aliyekuwa akitia wimbo nchi nzima inasimama. Siku hizi akitoa wimbo watu hata hawashtuki tena.
Hiki ndicho watanzania tunakiweza zaidi

Kuombea na kushangilia shida za watu

Inasikitisha
 
Alikuwa level za Davido miaka miwili nyuma!
K... hazijawahi kumwacha mtu salama, eti mwenyewe anasema kazi na dawa
Kabaki kuimba mitusi tu!
Na wabongo tulivyo wanafiki sasa, mpaka mtu anapotea hatushauri ila tunashabikia tu!
Davido ni Moto sasa hivi .. untouchable ..
 
Hiki ndicho watanzania tunakiweza zaidi

Kuombea na kushangilia shida za watu

Inasikitisha
Ninyi ndo wenye akili kama za JIWE mnaturudisha sana nyuma kama WaTanzania. Mnachukia sana kukosolewa na kuambiwa ukweli utafikiri ninyi ni malaika. Kama mnampenda huyo jamaa yenu mwambieni hata mashabiki wake nao wamekua.

Mtu ashakuwa na familia, watoto na majukumu itakuwa ngumu sana kuendelea kushabikia madrama ya ngono instagram ambao jamaa kawekeza sana.

Siku hizi hata Diamond Karanga hazifanyi vizuri kama zamani, hata Chibu perfume ndo imekufa kabisa.

Sasa kama kweli Mavoko naye kajitoa kwenye LABEL sijui jamaa anaelekea wapi !
 
Dah Diamond anaisha taratibu nilikuwa shabiki yake mkubwa sana ila siku hizi sielewi anachoimba
 
Back
Top Bottom