Show your hand writing(mwandiko)

Mmeniforce nishike biki, nimeshika sa sijui niandike kipi.../

Na mwandiko mchafu si mnipe jiki?, niandike kwa vina mpaka mniite gwiji.../

Kuna mwana nataka nimchane, nawajuza mi ndo nilie muandikia Saint Anne...au sio mwana wane?

Mcheki Its Pancho kaanzisha mada afu kanywea, stuka mwenzako Prisonerx kaandika hadi vifaa vya hardware.../

Huu mwandiko unapendeza nimeulaza kifudifudi, na ndio maana siufichi nauweka wazi uonekane sio kama Bujibuji.../

Patriarch mwanangu ebu punguza hisabati, umefanya mpaka moyo wa ledada usiwe smart.../View attachment 1856636

Scars nimependa namna unaandika.

Naomba kwa mwandiko huo uniandikie ujumbe wowote,hata jina langu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmeniforce nishike biki, nimeshika sa sijui niandike kipi.../

Na mwandiko mchafu si mnipe jiki?, niandike kwa vina mpaka mniite gwiji.../

Kuna mwana nataka nimchane, nawajuza mi ndo nilie muandikia Saint Anne...au sio mwana wane?

Mcheki Its Pancho kaanzisha mada afu kanywea, stuka mwenzako Prisonerx kaandika hadi vifaa vya hardware.../

Huu mwandiko unapendeza nimeulaza kifudifudi, na ndio maana siufichi nauweka wazi uonekane sio kama Bujibuji.../

Patriarch mwanangu ebu punguza hisabati, umefanya mpaka moyo wa ledada usiwe smart.../View attachment 1856636
Ñakubali kaka.. ingefaa uingie studio, seems mziki upo kwenye damu.
 
Unaandika vizurii sanaaa..
Mimi nipo kinyume kidogo,,Najua zaidi kunyoosha kwenye karatasi isiyo na mistari ,kuliko karatasi iliyopigwa mstari.

Karatasi nyeupe huwa sipindishi kabisa,na huwa nashangaa kwanini watu hawawezi kunyoosha.
Karatasi yenye mstari inanipa shida mno kuifwata maana tayari nina mstari wangu mkononi.

Oh! hongera that's talent! wengine bila karatasi ya mistarii unajikuta maandshi yanapanda na kushuka, plane paper inanisumbua aseee
 
20210717_091218.jpg
 
Back
Top Bottom