Show ya Kibiti ingetupiwa mtandaoni, Dunia yote ingetuheshimu Tanzania jinsi Gani ya kupigana na wanaojiita magaidi

Umeshayaweka mtandaoni kwa sababu yalikuwa MASIMULIZI.

Haya masimulizi huenda yakawa ni hadithi ama nganio na visasili vyake
 
Ndugu Watanzania mnatakiwa mjivunie kuwa Watanzania, Tanzania imebarikiwa sana, si kila Nchi imebarikiwa duniani

Leo nimekumbuka ile Kibiti show Au Kibiti rescue
Show ambayo wale wanaojiita magaidi hawataki tena hata kusikia neno Tanzania wale wanaumwe walipigwa, wakapigika ni wazi walijutia kuingia Tanzania they Will never repeat the same mistake

Shuhuda wa tukio ananiambia walau ile kibiti rescue ingerushwa YouTube Sidhani kuna Nchi Africa na duniani ingeisogelezea Tanzania

Shuhuda ananiambia wale mabwana ilifikia hatua wale mabwana wanaojiita magaidi walivua nguo zao za mapambano na silaha wakazichimbia chini,
Wakavaa suruali na shati wakachomekea ili kujinusuru Lakini walimulikwa

Kwa kuwa Mambo ya jeshi hayatakiwi kuwekwa mtandaoni kwa usalama wa nchi naishia hapa

Ila nimesimuliwa Mengi sana Kuhusu Kibiti show iliyohusisha....

Umeshayaweka mtandaoni kwa sababu yalikuwa MASIMULIZI.

Haya masimulizi huenda yakawa ni hadithi ama ngano na visasili vyake
 
Back
Top Bottom