mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,223
- 4,681
"Sisi mashabiki wa muziki hapa Dodoma tunauliza ile show ya marudio aliyotuhaidi king kiba itafanyika lini? Maana tulihaidiwa tarehe 28 tutaenda kumuona lakini mpaka leo tarehe 2 January hatupewi update yoyote.
Kiba atuambie au ndio kashatudhulumu pesa yetu elfu 25 ya kiingilio? Siku nyingine ni nani ataenda kwenye show za huyu msanii kama ndio amekuwa tapeli kiasi hiki? Hii dharau ya Kiba inatoka wapi wakati sisi tumetoa pesa yetu na tukasubiri mpaka alfajiri haya ndio malipo yake? "
Nimemsikia kijana mmoja wa Udom akitoa haya maneno kwa uchungu mkubwa hapa maeneo ya Area C Dodoma.