Show rooms za magari Dar

Arsenal

Senior Member
Aug 12, 2008
190
71
Ivi izi show rooms za magari amabazo kila kukicha zinafumuka is not about time serikali ikazichunguza???mana to me ni kama some type of money laundering techniques!!!mana ukiwa na USD 1-5M ivi na huwezi kuweka benki what will you do?
Zamani walikuwa wanajenga nyumba lakini hii imestukiwa kirahisi so nadhani wamehamia kwenye hii biashara mpya!!
Takukuru,TRA please investigate!!
 
Inatusaidiaje kuchumi hapa dimbani?

Inatupa somo kubwa la kiuchumi hapa juu ya money laundering na hasara zake kwa uchumi wa nchi. Remember JF is the HGT. Hivyo basi unaweza kusaidiwa kwa njia mbili (a) kuelewa somo la uchumi (b) kuelewa njia za kujikwamua kiuchumi.
 
ni sahihi mkuu...inafaa kufanyika unvestigation hapo

eneo jingine ni la biashara ya furnitures, hasa imported furnitures...ni kweli kuwa bongo imekuwa ni nchi ya consumers kwa hiyo biashara ambayo imelenga huko itauza sana lakini hao investors katika hiyo sekta ndio wenye kupaswa kuchunguzwa.
 
May be I have not Understood,
Do you mean they should be investigated because they are not paying Taxes or what?
Ninaamini kila gari linapopita Bandarini Lazini Kodi inalipwa. Kama kuna ukwepaji huo ni Udhaifu wa TRA wenyewe.
For your Information. sio kila mweye showroom ya magari 20 yote ni yake!!!
siku hizi umetokea mtindo mtu ananunua gari akiitumia akichoka anaipeleka show room. Tupo pamoja?
May be unieleweshe labda wachunguzwe kwa lipi?
 
Hivi kumbe money laundering ni suala gumu kulielewa kwa tulio wengi!!!!

Tiba
 
Biashara ya hizi showrooms ni biashara za kupigana za usoni tu na kuwalalia malimbukeni wa magari. Lakini kipi kipya?
 
Biashara ya hizi showrooms ni biashara za kupigana za usoni tu na kuwalalia malimbukeni wa magari. Lakini kipi kipya?
kama ulikuwepo kaka. Gari inaagizwa kwa 6mil. Show room unaikuta kwa 12to 13mil. and ppl buy!! upff!!
 
Hivi kumbe money laundering ni suala gumu kulielewa kwa tulio wengi!!!!

Tiba

Money laundering is the process of changing large amounts of money obtained from crimes, such as drug trafficking, into origination from a legitimate source.It is a crime in many jurisdictions with varying definitions. It is a key operation of the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Underground_economy"]underground economy[/ame].
 
Halafu naskiaga eti wafanyakazi wa sirikali huwa wanapewa kaunafuu flani kwenye kodi za magari yenye cc flani. Naskiaga wakisha osha nyota nazo kwa saana town mwishoe wengi huwaga wanakujaga kuzirusha humu kwenye mashowroom. Ujinga mtupu.
 
Tatizo lako nini dogo?
 
Tatizo lako nini dogo?

Kipi kisichoeleweka? .

Mtu anashindwa kuona kua hawa watu wamepewa punguza la kodi kwenye magari ili wayatumie wao binafsi, badala yake wanayauza kwa 3rd party na kuikosesha sirikali mapato. Halafu the same person wataja mbele kulalamika kuhusu uduni wa hudma za kijamii, ila anashindwa kuona kuwa yeye alichangia hili tatizo. Lakini hili ni geni? Sidhani.

Kuna jangine. Hili la watu wa showroom kusema uwongo kuhusu magari yao. Gari limekatiza vichochoro vyote vya Dar, lakini ukiuliza waambiwa limeingia wiki jana kutoka Japan au UK.
 
Kuna jangine. Hili la watu wa showroom kusema uwongo kuhusu magari yao. Gari limekatiza vichochoro vyote vya Dar, lakini ukiuliza waambiwa limeingia wiki jana kutoka Japan au UK.
Una jipya?
 
Money Laundering kwa nchi ya Tanzania inakuwa vigumu kupambana nayo kwa sababu ya cash economy kila kitu ukitaka kununua inabidi uwe na pesa cash kama unanunua nyumba, samani, magari na bidhaa nyengine za matumizi ya kawaida.

Inasemekana katika mzungunguko wa pesa nchini 11% zipo katika mabenki zilizobaki zipo mikononi mwa wananchi. Kwa hali kama hiyo itachukua muda mrefu kuweza kupambana na tatizo hilo la pesa chafu hadi kuwe na mfumo mzuri wa kibenki na fedha.

Ukiwauliza watu kuhusu kuhifadhi fedha zao katika mabenki wengi watakwambia kuwa mabenki hayana siri wafanya kazi siyo waaminifu wanavujisha siri za wateja kwa watu wengine kuhusu viwango vyao vya akiba zao na hivyo kuhatarisha maisha yao kwa wahalifu.

Wengine hawapendi kuweka fedha zao katika mabenki kwa kukwepa kulipa kodi ya mapato.
 
Back
Top Bottom