Shosti Mwanaume ana 'manii' nyingi yuleeeee! Muone vilevile tu!

Sijasema nachukia wanaume ofisini nafanya kilichopo kwenyejob description yangu basi
Ili niweze kufanikisha malengo ya mwajiri wangu.sasa kungonoka kunasaidia vp kumeetorganizational goals hapa?
Craaaaap .nitalisimamia hilo daima

yameisha mamaa, lol!
 
nini kilikufanya ukatishe maongezi ya wadada poa wa ofisini kwako Ndyoko? au ulijua stori itakayofuata itakuwa yako???:lol:

Sikupenda kiviiiileee stori yao hasa ukizingatia ilikuwa imelenga zaidi kiunoni/katikati ya mwili wa mwanaume na mwanamke. Sio rahisi kuniongelea mie sana sana wangedai jongoo hapandi mtungi tu
 
Sijasema nachukia wanaume ofisini nafanya kilichopo kwenyejob description yangu basi
Ili niweze kufanikisha malengo ya mwajiri wangu.sasa kungonoka kunasaidia vp kumeetorganizational goals hapa?
Craaaaap .nitalisimamia hilo daima
tena wa jazba yako.. hadi utammm...
 
Wana wazimu hao wanawake,hawajaona sehemu yakupatia wanaume mpaka kazini? halafu unamtizamaje huyu mwanamme
mkishamwagana? au inahusu nini kuwacha kazi zakufanya nakuongelea mambo ya wanaume anazo nyingi anazo kidogo,
yani wanawake wengine upeo wao wakufikiri mdogo wala hawajui neno gani la aibu loh! asara yao.....
 
@ndyoko uswahilini wanasema huwezi kulamba sukari kwenye nylon, ni balaa!
 
Smile are you familiar with networking and team work. In networking and team work interpersonal skills is essential and very important ukiwa feminist hutaweza kumeet hata hizo organisational goals. Kwasababu organisation ni watu na watu ni sisi (Wanaume na wanawake). Sasa if you have issues with men mwishowe utaonekana ni feminist, extremist na mwisho wa siku unaweza kutimuliwa vile vile kazini.
Teamwork ya kushear mwaume mmoja wanawake watano tena mwenye mke.loh kweli hii nizaidi ya team work
Mimini mtu wa watu sana tena sana. lakini kila kitu kina kanuni zake mkuu
 
Nashangaawananidiscuss badala ya kujadili topicbwana

You are very defensive smile ungelikuwa ofisini kwangu nishakumega haya bana wacha nikuache. Anyway hao wanawake wapuuzi kwanza kitendo chao cha kuliwa kavu ni kitendo cha kusikitisha. Vile vile kukaa na kuongea kuhusu wanaume ni ujinga na upumbavu sielewi mtu anayepita akiongea kuhusu wanaume au wanawake anamfaidisha nani. Who cares about the men and women you had slept with it sucks to be honest!!!!
 
Mwanamke anadhalilishwa kwa 20% na 80% hujidhalilisha mwenyewe. Kwa mfano: Mijanamke 4 iliyokosa haya inagawa makopo yao na kuyafanya ya jiji kiasi imechomekwa mpini na njemba moja na bado haioni aibu ndio kwanza inajisifia ikiongea na kucheka, hapo utasema wamedhalilishwa au wamejidhalilisha kwa kujirahisi kama dust bin ya mtaa?

hilo limwanaume limoja nalo kuchovya kila kopo hajajidhalilisha?
 
hivi kuna watu wanaodhalilishwa humu duniani kama wanawake....?
kwa hesabu ya harakaharaka......pitia MMU uone ni thread ngapi zinatuhusu......

Upo sahihi kabisa lakini saa nyingine vituko mnaviunda wenyewe.
 
You are very defensive smile ungelikuwa ofisini kwangu nishakumega haya bana wacha nikuache. Anyway hao wanawake wapuuzi kwanza kitendo chao cha kuliwa kavu ni kitendo cha kusikitisha. Vile vile kukaa na kuongea kuhusu wanaume ni ujinga na upumbavu sielewi mtu anayepita akiongea kuhusu wanaume au wanawake anamfaidisha nani. Who cares about the men and women you had slept with it sucks to be honest!!!!
Mwenyemaamuzi ya kumegwa ni mimi mkuu . na hilo lisingewezekanika kamwe .llabda ningeishia kukumega wewe
 
Mkuu watu wanatembea na kijiji kizima we unashangaa ofisi moja? Kua uyaone ndugu
..Acha kusifia Ujinga Ndugu. Ukishamaliza kijiji kizima halafu, what next. Utakufa Tutakuzika, full stop.
Sihitaji kukua ili nione Wanaume wanaotembea na wanawake kijiji kizima, acha nibaki hapa. Tangulia.
 
Back
Top Bottom