Shortlist ya Hakimu mkazi daraja la II

sajo

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
3,021
5,253
nimesikia leo tarehe 27 april mtanzania news wametoa shortlist ya walioomba kazi ya hakimu mkazi daraja la pili,kwa aliepata electronic source ya hiyo kitu please naomba aiweke humu tuweze kuicheki,wengine tupo mbali na magazeti yanapouzwa,wengine tupo nje pembezoni mwa tanzania..kwa ataepata sio mbaya akitujulisha na mliokua hamna habari mkacheki kwenye hiyo mtanzania ya leo
 
Rafiki yangu ameitwa nae.
 
Bandungu hakuna wa kuzibandika hapa pls!
Kama vipi mwenye taarifa atujuze hata siku ya interview na ni wapi itakuwa,tujichanganye hivyo hivyo..TAFADHALI
 
Nimeliona tangazo,Majira ya tarehe 28/04.Itavyuu zinaanza tarehe 14/05 kwa makundi ya watu 20 kila kundi,Mahakama Kuu Makao Makuu,Kivukoni Front.Majina yapo 900 kwa nafasi 300,kama bado hujaona jina lako nashauri uende pale Mahakama kuu,lazima watakuwa na list ya walioitwa kwenye usaili.TUOMBEANE kwa walioitwa na kwa tunaoendelea kutafuta.Safari bado ndefu...
 
AMEN Mkuu
 
Hivi hizi interview zitakuwa written au oral,na wanatilia mkazo wapi hasa?Kwa mwenye ufahamu tafadhali....
 
Back
Top Bottom