eddymyinga
Member
- Feb 21, 2011
- 11
- 1
Jamani tumeomba kazi msd tangu mwezi wakumi mwaka 2010,hadi sasa hatujasikia chochote kinachoendelea,sijui wamesha waita watu au vp?maana si mimi tu bali jamaa zangu wote tulioomba hakuna mwenye fununu yoyote kama wamesha toa shortlist au la,mimi na wenzangu tumepata wasiwasi mkubwa baada ya muda mwingi kupita bila kusikia hata mmoja au kuona kwenye magazeti kua wafuatao wameitwa kwenye usahili,
Hivyo basi tungeomba kama kunamtu mwenye kujua kama walisha fanya usahili atujulishe kupitia mtondao huu wa JamiiForums,ili tusiendelee kutega sikio kusikilizia kitu ambacho tulishakosa.
GOODDAY ALL MEMBERS AND GOD BLESS TANZANIA.