Short list secretariat ya ajira na utumishi wa umma

uuuuuuuuuuuwiiiiiiii! mi naamini bado hawajaita kwani kama wameita kinyemela chozi langu litaweza kuilaani tume hii na haitachukua time itavunjwa, ni heri waite wazi nami nisiwepo kuliko kuita secret halafu mi cpo. kitanuka na............ duuh! hebu semeni kweli wameita au tunataniana?

Du la kuku...!
 
Tukimaliza bajeti za serikali tunawaita msiwe na hofu vijana, hatuwezi kuajiri bila kuwa na pesa
 
Mjomba hiyo Heading mbona inatisha, mi nilifikiri watu washaitwa kwenye interview nicheki jina kama lipo
 
Back
Top Bottom