Short course ya computer Dar es salaam

KANCHI

JF-Expert Member
Sep 3, 2011
1,533
230
Kuna ndugu yangu aliniulizia chuo ambacho kinatoa short course ya it ili ajiunge nao kwa muda huu wa kusubiria kupangiwa shule form v.
 
IT(Information Technology) hii ni taaluma kama taaluma zengine, hivyo wanaanzia Certificate, Diploma, Degree au Advance Diploma na kuendelea. humo ndani ya IT kuna Networking, Software development na Computer Hardware.

kutokana na Maelezo hapo juu huyo mdogo wako anataka kusoma IT au computer application Programmes (window, MS office, Photoshop, email etc)

Baada ya Majibu yako nitajua namna ya kukushauri

Kuna ndugu yangu aliniulizia chuo ambacho kinatoa short course ya it ili ajiunge nao kwa muda huu wa kusubiria kupangiwa shule form v.

Kuna ndugu yangu aliniulizia chuo ambacho kinatoa short course ya it ili ajiunge nao kwa muda huu wa kusubiria kupangiwa shule form v.
 
Itabidi asome certificate kwa upande wa computer application programmes (window, MS office, Photoshop, email etc) kama ulivyosema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom