Ni short course gani ambayo ni nzuri na ipo katika soko kwa sasa?

Zeru

Senior Member
Jul 20, 2018
186
64
Habarin wadau,

Nimehitim diploma ya mambo ya utawala, sasa niliona nipige hata short course kutokana na changamoto za ajira,nilikuw nauliza je hii short course ya civil drafting ukiachana na chuo cha veta cha Dar es Salaam je kwa upande wa Dodoma nao pia wanatoa?

Msaada wadau kwa anaejua
 
Habarin wadau,nimehitim diploma ya mambo ya utawala,sasa niliona nipige hata short course kutokana na changamoto za ajira,nilikuw nauliza je hii short course ya civil drafting ukiachana na chuo cha veta cha dar es salaam je kwa upande wa dodoma nao pia wanatoa? Msaada wadau kwa anaejua
 
Habarin wadau,

Nimehitim diploma ya mambo ya utawala,sasa niliona nipige hata short course kutokana na changamoto za ajira,nilikuw nauliza je hii short course ya civil drafting ukiachana na chuo cha veta cha Dar es Salaam je kwa upande wa dodoma nao pia wanatoa? Msaada wadau kwa anaejua

Log in
 
UNA TALENT GANI WEWE BINAFSI UNAVYOJIONA TANGU UTOTO MPAKA SASA
Kweny design mkuu maana toka mdogo nilikuw napenda sana kuunda vijumba kupitia mabox,sema ndio hivyo utoto mwingi tukakimbilia masom y arts at the end tukaingia kweny mambo y utawala
 
Kweny design mkuu maana toka mdogo nilikuw napenda sana kuunda vijumba kupitia mabox,sema ndio hivyo utoto mwingi tukakimbilia masom y arts at the end tukaingia kweny mambo y utawala
bora ukasome graphics,painting,multimedia.
 
bora ukasome graphics,painting,multimedia.
But kwa multimedia naskia n gharam sana kujiajir maan naskia kuna issue za camera nayo n ghar sana,au mkuu nayo imekaaje unaweza kunisaidia n hii
 
But kwa multimedia naskia n gharam sana kujiajir maan naskia kuna issue za camera nayo n ghar sana,au mkuu nayo imekaaje unaweza kunisaidia n hii
nani amekudanganya ndugu yangu.multmedia ni pana sana,ni zaidi ya camera na graphics
 
nani amekudanganya ndugu yangu.multmedia ni pana sana,ni zaidi ya camera na graphics
Kimtaa mtaa watu wanafikiria ipo hivyo, ila ukianza kuisoma ndo utajua kiundani.

Unaweza kusaidia hapa scope ya hii course na utakuwa umesaidia maelfu ya watu watakaousoma huu uzi hata miaka 20+ baadae.
 
Elements:
  • text,
  • video
  • sound
  • graphics
  • animation

Content
  • Introduction and motivation for the use of multimedia content.
  • The advantages of multimedia content in digital form.
  • Specific requirements from hardware and software to work with digital multimedia content.
  • Lossy / lossless encoding of content used in various multimedia contents.
  • Overview of current standards for recording and transmitting digital multimedia content with examples from the MPEG family.
  • Text as a multimedia content: creation, use, tools for working with text as a multimedia content.
  • Graphics and images: creating, capturing and their use, the comparison of vector and bitmap graphics.
  • Record formats.
  • Sound: creating, capturing, processing and its use.
  • Record formats and distribution.
  • Video: capturing and digitizing video, video editing, tools for working with video content.
  • Formats of digital video recording and distribution.
  • Basic concepts of working with animations with basics of interactivity.
  • Combining various multimedia content in the final multimedia product with added elements of interactivity.
  • The importance, methods and approaches of effective storage and searching of stored content using low-and high-level metadata.
  • Basics of semantics for the record of metadata.
  • Multimedia product development process from the development plan through the product design to the production of the product.
  • Documentation required for the development of a multimedia product.
  • Protecting access to the content.
  • Knowledge of different access rights to the content.
 
Wazee sasa kwa short course kwa hii multimedia inatolew wapi? maan niliangalia chuo cha veta kipawa wanayo long course yaan certificate up to diploma
 
Wazee sasa kwa short course kwa hii multimedia inatolew wapi? maan niliangalia chuo cha veta kipawa wanayo long course yaan certificate up to diploma
embu jaribu DIT kama wana short course.lakini kama una nia kwann usijitose tu long course.
 
Habarin ndugu zangu,mimi n kijana mweny bachelor degree ya public administration ambapo nilihitimu mwaka juz,ila kutokana na changamoto za ajira zilivyo nimeon ni bora hata nifanye mchakato wakupiga short course naamin nikiisoma inaweza kunisogeza maali fulan pind nitafutapo ajira,swali langu linakuja hapa je ni short course gan ambayo n nzuri yaan ipo katika soko kwa sasa
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom