Shopping online in tz. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shopping online in tz.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mjasiriamali1, Mar 28, 2010.

 1. M

  Mjasiriamali1 JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2010
  Joined: Jun 8, 2009
  Messages: 1,318
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hbr zenu wana jf, kama umeshaw kukutana na mtandao unaojiita kivuko.com uu ni mtandao wa online shopping online in tz,mtandao huu una a/cc binafsi ,thn unaweza 2mia mpesa nayo ni ya m2 binafsi, zaidi na zaidi terms of payment ni 100% advance,ndipo wanakulete hamna gurantee kama bidhaa zake ni orginal, plz aliye wah kushop online kwa ku2mia huu mtandao,aeleze, na wenye mtandao huu wa2eleshe wao bidhaa zao wanatoa wako,na ni akina nani? Na gurantee ya uhalisia uko vp? Ktk web yao, coz sam1 can just design a web.
  Plz if u cn contribute smthng here! 2ekana sawa.
   
Loading...