Shoga yangu anataka kuwa mweupe

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
835
Jamani eeh shoga yangu anataka,awe at least maji ya kunde sabab ni black.sana sasa nikamshaur abaki hivyo hivyo akakataa
Mshaurini atumie mafuta gan ya bei ya kawaida na yasiyo na chemical ili awe na uangavu tu mwilini yaan sio weupe uangavu tu angalau akaribie hata robo ya maji ya kunde
 
hajielewi hajui kama miongoni mwa viumbe wanao potea barani africa pia ni wanawake weusi au wewe ndo unataka unasemea nafsi ya mwingine pia kubadirisha ngozi sio busara hata kidogo MUNGU hajakosea kumuumba hivyo anamakusudi
 
anunue labudjanise
na tube yake
na maji ya diva
achanganye
 
Jamani eeh shoga yangu anataka,awe at least maji ya kunde sabab ni black.sana sasa nikamshaur abaki hivyo hivyo akakataa
Mshaurini atumie mafuta gan ya bei ya kawaida na yasiyo na chemical ili awe na uangavu tu mwilini yaan sio weupe uangavu tu angalau akaribie hata robo ya maji ya kunde
Si useme tu ww ndo unataka uwe mweupe!!

Kunywa maji mengi kama Rey
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom